Kibatala tena

Kibatala tena

Hivi mahakamani jamaa akikuuliza maswali ya kijinga na wewe ukamjibu akamwulize mamake inakuwaje?
Utakuwa umejimaliza mwenyewe kwani nia ya kuuliza maswali ya dizaini hiyo ni kutaka kukutoa kwenye mstari ili uonekane ni mtu wa ovyo na ushahidi wako usitiliwe maanani, tena anaweza akamalizia hapo hapo kwa kwa ile kauli yao maarufu ya no further question your honour.
 
Back
Top Bottom