Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

Mkuu,
Ukimtoa wakili msomi tundu lisu anae mfuatia Ni kibatala..

Na kwa taarifa yako hao walio kutuma watalala na viatu..

NB.
Kama unaona kibatala anafaidi haukatazwi na wewe uende ukawe wakili msomi
Mpaka Sasa List Yangu Bora ya Mawakili Tanzania pamoja na certificate yangu ya Sheria ni
1. Tundu Lissu
2. Kibatala.


Mawakili Bora hawaajiriwi serikalini. Paul Makonda 2024 Sumbawanga
 
Nitajie mawakili wawili tu wa Jamhuri ambao ni saizi ya Kibatala, nami nitakutajia wakili mwandamizi wa Jamhuri ambaye alidisco Mlimani.
 
Nonsense
 
Hivi dharau au kebehi ni nini?

Sasa kwa Taarifa yako Murilo hatoki, Unaambiwa mauaji hata ya Lwajabe yanaenda kufukuliwa kwa kesi hii

Mtadhalilika safari hii, Subiri.
 
Mungu ana miujiza, Pale MZUMBE class yetu ya LLB Kibatala Ndio alikuwa kilaza. Muulize Dr. Joel, Binamungu na Mavunde
 
Mungu ana miujiza, Pale MZUMBE class yetu ya LLB Kibatala Ndio alikuwa kilaza. Muulize Dr. Joel, Binamungu na Mavunde
Si mwanasheria but niko profession nyingine. Question is imekuaje yupo hapo? If accademicaly alikuwa wamwisho, how comes huku nje amekuw kimbilio kwa kesi against serikali? Or serikali hai ajiro mawakili wanao jielewa?
 
Nilitaka kushangaa sana, toka lini mtu anayejiita Magufuli akampenda Kibatala? Yaani hapa umeandika utumbo tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…