Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hata mimi sioni maana yeyote kwenye matokeo ya uwanjani ya timuMimi ni Simba lakini sijaona la maana hapo
😆😆👉Ali kiba ni Yanga hio ni biashara tu anafanyahuyo kaenda kuchukua fweza kma manara tu yanga Lia Lia huyo
Atafunga akiwa nje ya uwanja yeye ni mchezaji wa 12Hata mimi sioni maana yeyote kwenye matokeo ya uwanjani ya timu
Wivu tuMimi ni Simba lakini sijaona la maana hapo
Ni yanga ila yanga wanampotezea kaamua apige pesa simba.Diomond na mpira wapi na wapi kiba mwanachama Kbsa na alishawai changia lile bakuri huyo kaenda kuchukua fweza kma manara tu yanga Lia Lia huyo
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Huyu hana tofauti na Diamond, Haji Manara, nk. Pesa kwanza, mambo mengine baadaye.