Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Bongo hakuna kuhama kuna raha yake bwana, wakati mtifuano ukiwa umepamba moto kwenye mitandao ya kijamii kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz hatimaye Kiba kafanya maamuzi magumu na hii ni baada ya mke wake kuzungumziwa vibaya na Diamond Platnumz.
Utakumbuka miezi kadhaa nyuma Diamond Platnumz aliamua kuhama timu kutoka Simba na kwenda Yanga na sasa Kiba kapindua meza.
Utakumbuka miezi kadhaa nyuma Diamond Platnumz aliamua kuhama timu kutoka Simba na kwenda Yanga na sasa Kiba kapindua meza.