Kibegi cha simba chamnasa Alikiba, rasmi Alikiba ni mnyama

Kibegi cha simba chamnasa Alikiba, rasmi Alikiba ni mnyama

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Bongo hakuna kuhama kuna raha yake bwana, wakati mtifuano ukiwa umepamba moto kwenye mitandao ya kijamii kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz hatimaye Kiba kafanya maamuzi magumu na hii ni baada ya mke wake kuzungumziwa vibaya na Diamond Platnumz.

Utakumbuka miezi kadhaa nyuma Diamond Platnumz aliamua kuhama timu kutoka Simba na kwenda Yanga na sasa Kiba kapindua meza.

f4849755b6fe4d41995b2f7d0ebe0595_364181814_18366113461071034_3654568897577068161_n.jpg
ca3ff460cccf4a8aac862a2043c0826f_365087307_18366113521071034_3149907425464988233_n.jpg
727240d619504da7bcb9892ea61473c1_364728363_18366113548071034_2921201584587491148_n.jpg
 
Ali Kiba baada ya kushindwa mziki sasa ni malaya wa mpira!! Anashabikia kila timu!!!
 
Hawa wanachojali ni pesa, hata Diamond kwa maokoto sahihi asingekataa kuja. Hawa hawana tofauti na wachezaji tu, popote anacheza.
 
Hawa lazima watumike Sana na ni serikali inawatumia hawa walio na umaarufu na kufuatiliwa na watu wengi ili kuhamisha mawazo ya raia wasijadili mambo ya msingi yanayoendelea Tanzania, hii ni mipango Nyuma ya pazia wala hayatokei Kwa bahati mbaya!!
 
Back
Top Bottom