Kibegi cha Simba (jezi) kinatrend kuliko usajili wa Yanga

Kibegi cha Simba (jezi) kinatrend kuliko usajili wa Yanga

Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi.

Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama kibegi ndo inatrend!
Huku ni kupotea njia. Ukiona timu ambayo jezi yake inazinduliwa na wapanda milima, basi jua hicho ni kikundi cha wahuni. Ni kiongozi gani anaweza kupanda Mlimani huko?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Jezi inazinduliwa na wapanda mlima na sio viongozi wa klabu.
Huu nu uhuni na ni kwasababu mlikurupuka na hamkufikiria.
Jifunzeni hata kwa singida big stars basi.
Simba mnatia aibuuuuuu na bado mmepigwa wiki mbili na siku 3 huko uturuki
 
Weka picha tukione kinavyopanda mlima
IMG-20230720-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom