Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ni kupotea njia. Ukiona timu ambayo jezi yake inazinduliwa na wapanda milima, basi jua hicho ni kikundi cha wahuni. Ni kiongozi gani anaweza kupanda Mlimani huko?Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi.
Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama kibegi ndo inatrend!
Binafsi nimejua Simba Ina kibegi Jana na Leo unanikumbusha wewe hapa. Kuhusu kutrend kuliko usajili inategemea unatoka timu Gani kati ya hizo
Weka picha tukione kinavyopanda mlimaKibegi kanazidi kusogea juu kabisa mwa mlima Kilimanajaro.
Kweli hii?Kinachotrend ni Galatasaray 17-1 Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka picha tukione kinavyopanda mlima
Uzushi.Kweli hii?
Vijana kamateni vizuri hicho kibegi kikidondoka mtoni muna kesi ya madai 🤔