Kibiblia mtumwa anachukuliwa kama mali na sio sawa na binadamu wengine

Kibiblia mtumwa anachukuliwa kama mali na sio sawa na binadamu wengine

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu ila kulikuwa na adhabu isiyo ya kifo endapo mtu atamuua mtumwa wake.

Na biblia imeandika kuwa mtu hatahukumiwa kifo kwa kumuua mtumwa wake kwa sababu mtumwa ni mali yake.

Kwa upande wangu sikubaliani kabisa na hizi sheria za kibaguzi na kikatili hata kama zimeandikwa kwenye biblia.

Je, Mungu aliyekuwa anawaongoza waisrael alikuwa na double standards? Huyu mtumwa ambaye ilikuwa sawa tu kumuua aliumbwa na nani? Kwa nini Mungu aliruhusu aonekane kama kitu na sio mtu?

View attachment 3419611
 

Attachments

  • Screenshot_20250726-165146_Chrome.jpg
    Screenshot_20250726-165146_Chrome.jpg
    355.3 KB · Views: 26
Tukiwaambia hayo maandiko ni ya kutungwa Wana kataa
 
Back
Top Bottom