Kibinti kina miaka 16 ya kuzaliwa, experience ya miaka 40: HAKISHIKIKI!

Kibinti kina miaka 16 ya kuzaliwa, experience ya miaka 40: HAKISHIKIKI!

hv ile sheria ya mahusiano SOSPA inafanyaje kazi? 2009 pia Children and women Bill of right ilipitishwa, inafanya kaz vp? sielewi!
 
Mi wala simlaumu binti ..nyinyi wanaume hamjiulizi? huyo ni kama mtoto wenu, msingemtongoza wala yasingemkuta angejiona bado mdogo, sometimes tujiangalie na sisi..kweli wanaume mtatumalizia watoto.
 
Eh!!! 16rys ni hatari! Nimekumbuka cku moja tulienda kwenye sherehe ya familia moja ambayo ilikuwa na watoto wakiume tu. Wakati Mc akirembesha sherehe aliwaita watoto wote 6 wajitambulishe. Ktka hao kaka yao mkubwa ndie alifanyiwa sherehe ya kuhimu Advanced diploma ya Uhasibu. Basi mama 1 pembeni yetu alivyowaona akasema Mungu angenipa watoto wa kiume tu ningezaa hata kumi (10) bila kujali ugumu wa maisha. Kwa mtazamo wangu niona kama watoto wake wa kike wanamtesa sana.
 
kabla ya kukalaani haka katoto labda ni vizuri kuwa na flashback na kuangalia nasi tulianza haya mambo tukiwa na umri gani? ni vitu gani vilitupelekea mpaka kuanza mapenzi. ni rahisi kwa mtu kujiona kuwa 'I was different' au my situation was different. kwa wale walioanza wakiwa wadogo sana, wakiweza kuyasema haya then watakuwa wamesaidia sana kuzuia kuendelea kutokea kwa hali kama hii. nawasilisha
 
Malezi ya watoto wa kiume mepesi kuliko ya wakike!
 
Tatizo ni hao watongozaji
wanaume hawana haya
mwaka jana nilishuhudia mtoto wa miaka 9
akijifungua unamwangalia unapata huruma
hajui hata pakuanzia inabidi mzazi uchukue jukumu
la kuwa mama. wanaume wanatakiwa kufikiri mbele
zaidi pale wanapoingiliwa na tamaa zao. tatizo linakuja
wanapokuwa na tamaa uwezo wa kufikiri hawana.
nafikiri na sheria yenyewe imekaa vibaya inaruhusu kuolewa
ukiwa na umri wa 15yrs

Size basi wengine wazee baadhi ya viungo havifanyi kazi kama zamani.
 
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!

Kwa mazingira ya kiswazi ni kawaida sana....infact mama anafurahia binti yake aanzapo kuhongwa!
 
jamani TUSITONGOZE WALA KUSHONA WATOTO.
 
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!

Mnashangaa nini wakati mmekakomaza wenyewe?
 
Wanaume nao wamepitiliza sasa! Baba zima lina approach 50 linakavulia nguo katoto ka 16 yrs si ndio uchawi wenyewe huo.
 
Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!

nakubaliana nawe wenye matati9o ni hiyo midume kwenda kumvulia nguo binti sawa na wanae. Je angekuwa mtoto wao wangefurahi? Wendawazimu wakubwa
 
teenagers.. ila wanaume na sisi kuna wengine sijui tukoje bana 16yrs!!!!
Jana nilisema kuna jamaa kajagundua kuwa wife to be ana miaka 17. Jamaa alikuwa anaelekea kujitambulisha! Si pingu zinamwita huyo! Ila watoto wa siku hizi wanakua haraka kuliko umri wao. Ukimwona huyu wa jamaa utafikiri limama kumbe hamna kitu. Aafu wanameza majibaba mizima na hawaguni hata!
 
Jamani haya mambo hapa kwetu si ya kushangaza, kweli, inawezekana ni ufuska wa wanaume na pia inawezekana ni uwasha-washa wa hako katoto na pia kuna uwezekano mkubwa wa mazingira anayokulia hapo nyumbani.

Sasa hivi, limekuwa jambo la kawaida kabisa kukuta mama ana watoto nyumbani nae hashikiki, anaingiza akitoa wanaume nyumbani bila ya hesabu. Jee, mtoto anaekulia mazingira hayo, naye aweje? Hakuna cha kumzuwia, ni ngono kwa kwenda mbele.

Mambo mengi hupelekea watoto kuelekea kwenye ufuska, ikiwepo dhiki, umaskini, ukosefu wa maadili kwa wazazi na kwa wachache sana, kufatana na makundi yasiyo na maadili mema.

Zamani mtoto akikosa, mtu mzima yeyote, hata si mzazi wake ni mpita njia tu, alikuwa akiweza kumkanya na hata kumtandika. Thubutu, dunia ya sasa, ukijaribu kumkanya mtoto wa watu anaweza kukuchamba asikubakishe. Maadili kwisha.

Tuwaombee watoto zetu na wa-wenzetu, yasiwakute mabalaa ya dunia. Tuwaombee wawe watoto wenye kheri. Na sisi wazazi ndio tuwe wa kwanza kuwaonesha mifano bora.
 
Kananogewa kwa kuwa bado viungo vinabana, hivyo shingo ya jogoo ikiingia inagusa pande zote na kukapa raha. 😛ound:
 
inasikitisha ,na mara nyingi vitu kama hivi vinasabishwa na mazingira gani mtoto amekulia,wazazi at times pia wanachangia,watoto wa kizazi hiki wana acess na mambo mengi ambayo yanaweza kuwa predispose kwenye ngono at a very tender age.....
 
mtoto huyo hana tatizo,
wenye tatizo ni hao wababa tena waume za watu.
kichwa cha habari kilitakiwa kiwe something like WABABA MNATUHARIBIA WATOTO.
 
Hivi mwanaume mwenye akil timamu atatongoza watoto kweli? Jaman hata kama vitoto vinataka dudu we have to ignore them sometimes ukwel ni aibu!
 
Ndio hivo tena mambo yamebadilika siku hizi, na haya machakula wanafumuka mapema sana
 
Maisha yamebadirika sana kwa maumbile na tabia za watu pia. Imagine, kama msichana mdogo zaidi kuwahi kuzaa alizaa akiwa na miaka tisa (9), itakuwaje kwa msichana mwenye miaka 16? Kimahesabu msichana wa miaka 16 anaweza kuwa na uzoefu wa miaka 7! Haya ndiyo mazingira tunayoishi, YANATISHA.
 
Back
Top Bottom