Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni hao watongozaji
wanaume hawana haya
mwaka jana nilishuhudia mtoto wa miaka 9
akijifungua unamwangalia unapata huruma
hajui hata pakuanzia inabidi mzazi uchukue jukumu
la kuwa mama. wanaume wanatakiwa kufikiri mbele
zaidi pale wanapoingiliwa na tamaa zao. tatizo linakuja
wanapokuwa na tamaa uwezo wa kufikiri hawana.
nafikiri na sheria yenyewe imekaa vibaya inaruhusu kuolewa
ukiwa na umri wa 15yrs
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!

Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!
Jana nilisema kuna jamaa kajagundua kuwa wife to be ana miaka 17. Jamaa alikuwa anaelekea kujitambulisha! Si pingu zinamwita huyo! Ila watoto wa siku hizi wanakua haraka kuliko umri wao. Ukimwona huyu wa jamaa utafikiri limama kumbe hamna kitu. Aafu wanameza majibaba mizima na hawaguni hata!teenagers.. ila wanaume na sisi kuna wengine sijui tukoje bana 16yrs!!!!