BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Kwa uchumi ganiAu nunua gari.
Shoga huyo.Kuna mijidada inajibambisha yenyewe bana tena inakusugulia kabisa.
Wakuu msaada,
Nilipanda mwendokasi toka Ubungo maji tu Fire humo nikakutana na mwamba alikuja kusimama mbele yanguakiniangalia sana kwa kuibia na mkono wake kauweka kwenye zipu yangu akijifanya kuuhamishahamisha yani alikua akinipapasa rungu kwa makusudi kabisa, alikua na maana gani?
Alikua amevalia kipusa jamaa alipoingia nilimwona wa maana vile alinisalimia kwa heshima licha ya kunizidi umri ila nilisitushwa na macho yake akinishangaa nilivyovyaa nikahisi wenda ni vile tu nimeulamba.
Tulishuka kituo kimoja nilipotea haraka sana.
wewe na mleta mada ni pipa na mfuniko.Kuna mijidada inajibambisha yenyewe bana tena inakusugulia kabisa.
Wakuu msaada,
Nilipanda mwendokasi toka Ubungo maji tu Fire humo nikakutana na mwamba alikuja kusimama mbele yanguakiniangalia sana kwa kuibia na mkono wake kauweka kwenye zipu yangu akijifanya kuuhamishahamisha yani alikua akinipapasa rungu kwa makusudi kabisa, alikua na maana gani?
Alikua amevalia kipusa jamaa alipoingia nilimwona wa maana vile alinisalimia kwa heshima licha ya kunizidi umri ila nilisitushwa na macho yake akinishangaa nilivyovyaa nikahisi wenda ni vile tu nimeulamba.
Tulishuka kituo kimoja nilipotea haraka sana.
Oya nilikoswa amani mle ndani nikahisi kuna wanawake wanaeza ona kile kitendo nikawa najikaza kusogea pembeni kidogo anasogea pia.Shoga huyo.
Sio gari tu bali Mazda CX-5Au nunua gari.
Kiaje tena Tajiri, ni janga hilo lilinisibu sikuwah kutana na kitu kama iko, Kwa wanawake sawa inatokea anajipimia size ila mwamba asee nilifedheheka sanaaa.wewe na mleta mada ni pipa na mfuniko.
Siku hizi umekuwa mkali sanaShoga huyo.
Njoo dukani kwetu ujinyakulie suruali yenye miba kama nungu nungu.Kuna mijidada inajibambisha yenyewe bana tena inakusugulia kabisa.
Wakuu msaada,
Nilipanda mwendokasi toka Ubungo maji tu Fire humo nikakutana na mwamba alikuja kusimama mbele yanguakiniangalia sana kwa kuibia na mkono wake kauweka kwenye zipu yangu akijifanya kuuhamishahamisha yani alikua akinipapasa rungu kwa makusudi kabisa, alikua na maana gani?
Alikua amevalia kipusa jamaa alipoingia nilimwona wa maana vile alinisalimia kwa heshima licha ya kunizidi umri ila nilisitushwa na macho yake akinishangaa nilivyovyaa nikahisi wenda ni vile tu nimeulamba.
Tulishuka kituo kimoja nilipotea haraka sana.
Uli enjoy kushikwa dusheKiaje tena Tajiri, ni janga hilo lilinisibu sikuwah kutana na kitu kama iko, Kwa wanawake sawa inatokea anajipimia size ila mwamba asee nilifedheheka sanaaa.
Hujaeleweka huyo ni ME au KE aliyekuwa anakufanyia hivyo? Kwanini na wewe ulikubali kufanyiwa hivyo?Kuna mijidada inajibambisha yenyewe bana tena inakusugulia kabisa.
Wakuu msaada,
Nilipanda mwendokasi toka Ubungo maji tu Fire humo nikakutana na mwamba alikuja kusimama mbele yanguakiniangalia sana kwa kuibia na mkono wake kauweka kwenye zipu yangu akijifanya kuuhamishahamisha yani alikua akinipapasa rungu kwa makusudi kabisa, alikua na maana gani?
Alikua amevalia kipusa jamaa alipoingia nilimwona wa maana vile alinisalimia kwa heshima licha ya kunizidi umri ila nilisitushwa na macho yake akinishangaa nilivyovyaa nikahisi wenda ni vile tu nimeulamba.
Tulishuka kituo kimoja nilipotea haraka sana.
Hii kwenye Daladala utaingia kweli?Unakuta jitu limekuganda kwenye daladala kama ruba.
Ukigeuza wowowo limo tu, ukisogea mbele linakuvamia huko huko. Unabambiwa mpaka wowowo linaumuka.
Ukigeuka kumwangalia anageuza shingo anajifanya anahesabu sisimizi. Ukigeuka mbele anaendelea kukubambia mpaka unahisi jitu limetuna.
Sasa dawa imepatikana, kuna mavazi spesho kutoka Italy yenye mimba kama nungunungu. Unavaa hilo hakuna dungadunga atakusogelea.
Sketi ina miba mchongoko. Ukigusa nchale, ukisogea nchale.
Tutaelewana tu.
Unyanyasaji wa kingono = UkatiliSiku hizi umekuwa mkali sana
Shi ngapi Boss?Njoo dukani kwetu ujinyakulie suruali yenye miba kama nungu nungu.
Bei sawa na bure. Mtu akijaribu kugusa dushe lako anapigwa na kichomi.
Aah wapi niliogopa sana mkuuu, nilihisi yanaeza tokea ya kugeukwa.Uli enjoy kushikwa dushe