Kiboko ya wabambiaji kwenye daladala

Kiboko ya wabambiaji kwenye daladala

Hujaeleweka huyo ni ME au KE aliyekuwa anakufanyia hivyo? Kwanini na wewe ulikubali kufanyiwa hivyo?
Me, nilimstah mwana sababu ya mazingira nisiharibu siku yangu maana nilijua nitashuka na hilo litaishia hapo.
 
Me, nilimstah mwana sababu ya mazingira nisiharibu siku yangu maana nilijua nitashuka na hilo litaishia hapo.
Wote ni wale wale tu na inawezekana wewe ndio huyo ulikuwa unachezea maumbile ya mwana umekuja hapa kujihami. Inawezekana vipi mtu asikujue aje akuchezee uume mbele za watu kwenye daladala alafu eti uliacha? Mbona sisi tunasafiri kwenye hizo daladala na mwendo kasi hatujawahi fanyiwa hivyo? Hii yako kama sio chai basi ni wewe ulikuwa unamfanyia hivyo mjuba.
 
Kuna mshangazi anaonekana age around 37-42. Ni wale waliojichubua shavu jekunduu kwa uvaaji wake inaonekana ni mlinzi maeneo ya posta, tulipanda wote mwendokasi posta nilitakiwa nishuke fire nilipitiliza mpaka shekilango, alinisogezea zigo na ile jam nakwepa nayeye ananiletea alafu ananiangalia jicho la uchokozi na ufupi wake. Nilivyoshuka nilijisachi nikahakikisha kila kitu changu kipo maana mji una mengi wenye mengi.
 
Unakuta jitu limekuganda kwenye daladala kama ruba.

Ukigeuza wowowo limo tu, ukisogea mbele linakuvamia huko huko. Unabambiwa mpaka wowowo linaumuka.

Ukigeuka kumwangalia anageuza shingo anajifanya anahesabu sisimizi. Ukigeuka mbele anaendelea kukubambia mpaka unahisi jitu limetuna.

Sasa dawa imepatikana, kuna mavazi spesho kutoka Italy yenye mimba kama nungunungu. Unavaa hilo hakuna dungadunga atakusogelea.

Sketi ina miba mchongoko. Ukigusa nchale, ukisogea nchale.

Tutaelewana tu.
Wivu tu.
 
Ilala Boma to Manzese:

nimedaka zangu daladala nimekaa,kikaja kitoto asili ya uarabu halafu ni kazuri,ule mbanano nikajikuta bega langu limeegemea kitumbua.Mtoto alinogewa aisee njiani mwote anajichezesha tu usawa wa bega,msuguano wa bega na kitumbua nadhani aliupenda.

Ila nilijisikia vibaya sana maana ni kama unyanyasaji hivi.

RAI: Wenye mamlaka ikiwezekana waweke utaratibu nzuri ili kuepuka mambo kama haya.
 
Bega na papuchi 🙈
 
Kuna mijidada inajibambisha yenyewe bana tena inakusugulia kabisa.

Wakuu msaada,
Nilipanda mwendokasi toka Ubungo maji tu Fire humo nikakutana na mwamba alikuja kusimama mbele yanguakiniangalia sana kwa kuibia na mkono wake kauweka kwenye zipu yangu akijifanya kuuhamishahamisha yani alikua akinipapasa rungu kwa makusudi kabisa, alikua na maana gani?

Alikua amevalia kipusa jamaa alipoingia nilimwona wa maana vile alinisalimia kwa heshima licha ya kunizidi umri ila nilisitushwa na macho yake akinishangaa nilivyovyaa nikahisi wenda ni vile tu nimeulamba.
Tulishuka kituo kimoja nilipotea haraka sana.
Uongo mtupuu, nia yako useme ni shoga, hakuna shoga wa kufanya huo upuuzi.

Hii tabia ni wadada na wakaka straight, muwaache na muwapumzishe mashoga, khaaaah.
 
Kiaje tena Tajiri, ni janga hilo lilinisibu sikuwah kutana na kitu kama iko, Kwa wanawake sawa inatokea anajipimia size ila mwamba asee nilifedheheka sanaaa.
Liongo wee, nia yako uzungumzie mashoga, mxxxieeeew.
Kwa mvuto gan ulonao wee kijebaa, tutolee uchuro wako hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote ni wale wale tu na inawezekana wewe ndio huyo ulikuwa unachezea maumbile ya mwana umekuja hapa kujihami. Inawezekana vipi mtu asikujue aje akuchezee uume mbele za watu kwenye daladala alafu eti uliacha? Mbona sisi tunasafiri kwenye hizo daladala na mwendo kasi hatujawahi fanyiwa hivyo? Hii yako kama sio chai basi ni wewe ulikuwa unamfanyia hivyo mjuba.
Boraa umempa ukweli wake, liongo sana hili jamaa afu linapenda kuwazungumzia vibaya gays, cjui alikataliwa na bottom, ndo ana hasira balaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom