Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

Serikali inastahili lawama kwa kuwaruhusu wahuni kujipenyeza kwenye mambo ya msingi kama haya kiroho. Bila shaka vigezo vya mtu kuanzisha Kanisa, kuwa mchungaji, nabii, mtume, nk. vimelegezwa sana.
Kuna Irene Uwoya na yeye anakuja na uchungaji. Huyu nyuma yake kuna watu. Wanapataje leseni? Au haihitaji leseni? Inasikitisha. Wajanja wameona ni fursa ya kupiga hela.
 
Serikali inastahili lawama kwa kuwaruhusu wahuni kujipenyeza kwenye mambo ya msingi kama haya kiroho. Bila shaka vigezo vya mtu kuanzisha Kanisa, kuwa mchungaji, nabii, mtume, nk. vimelegezwa sana.
Serikali haina kipimo cha kupima mtumishi wa kweli au uongo
 
Nijuinge na upi sasa katika huo niliyotaja?
 
Havieleweki mtu anaamka asubuhi anajiita Nabii au mchungaji
Makanisa yote Tanzania yamejaa ujanjaujanja tu, KKKT wamegawanyika sasa hivi Kuna KKKT ya Afrika Mashariki lakini hiyo tisa wanatumia sadaka za masikini kuanzisha shule lakini watoto wa waumini masikini hawaruhusiwi kusoma bure mfano mzuri shule za Wakatoliki ada ni mlima kwa masikini kumudu.
Kwaiyo Manabii wanapigwa vita kwasababu wamewavuta masikini wengi na hivyo makanisa makongwe yanakosa maokoto.Hii ni vita ya maokoto;mtu anasema ooh, Manabii wanauza maji ya upako,mbona kanisa katoliki wanayo nao wanayaita ya baraka🤣🤣.
Mambo ya imani ni magumu,Nabii anauza maji ya upako shilingi 1000-2000 ila Kuna mganga Handeni kwa Msisi anahitaji mbuzi na kondoo na kapelekewa bila maswali ila Nabii akilamba buku tano nongwa!🤣🤣🤣
 
Tatizo walimtapeli waziri wa zamani wa mambo ya ndani, ni Sawa Sawa na kuwataperi watu wote walio chini ya hiyo wisara
 
Mtindo wa kulipa machawa waje kusifiwa uliasisiwa na Magufuli huko CCM .

Hizo dini zenu za kitapeli siziungi mkono hata kidogo ila kuna double standard kudeal na hao matapeli maana wengine wanaachwa tu sababu watawala wana maslahi nao.
Ni Nyerere ndio alianzisha Haya mambo AU wewe ulikuwa bado haujazaliwa
 
Wengine hawa hapa
 
Pale Kinondoni Muslim Secondary school wanasoma bure?
 
Mcongo kapiga hela za wajinga
Kumuona Tu laki tano..


Hiyo kumuona tu,
Kisha anafanya advertising ya kumchomoa tu kitu mwilini mfano kijiwe,
Halafu anamwambia kalete milioni 2 nije nimalize tatizo lako.
Yani ni afadhali hata hiyo laki 5 ingekuwa ukienda kumuona anamaliza shida ya mtu lakini wapi?!

Jamaa amejenga magorofa, na vijana wake wana jeuri hujapata kuona.
 
Tatizo walimtapeli waziri wa zamani wa mambo ya ndani, ni Sawa Sawa na kuwataperi watu wote walio chini ya hiyo wisara


Itakuwa Mungu ameruhusu hivyo ili kuokoa wengi zaidi wasiendelee kuibiwa Hela zao kwa njia ya ulaghai.
 
Wanaenda watu wanachanga familia, wanakopa inafika hiyo 500,000/- akifika anaipokea,
Anauliza tatizo ni nini, au saingine majini yake yanamwambia au kwa njia ya bikini macho macho anapatia tatizo,
Kisha anasema kaleteni 1,000,000/- au milioni 2 ,
Ukiomba upunguziwe kuwa Huna hata hiyo laki 5 umefanya kukopa Basi atakugokea kwa nguvu, anaku embarrass mbele za watu na vijana walke wanakuja kukutoa nje mkuku na kukudhalilisha.
 
Kwani kwa waganga mbona mnatoa zaidi ya hizo
 
Walijaa viburi ilikuwa ni swala la muda tu Mungu kuingilia kati swala hili Kwani Imeandikwa; Mungu huwapinga wenye kiburi.

Mwanadamu ukishajitia kiburi baaasi hapo si shetani, so mwanadamu mwenzio wala Mamlaka za dunia zitakupinga isipokuwa Mwenyezi Mungu mwenyewe .

Sasa fikiria upingwe na Mungu wewe mwanadamu kiumbe dhaifu utakuwaje ?!
 
Katoliki maji ni bure,shule ni gharama kuendesha
 
Ni Nyerere ndio alianzisha Haya mambo AU wewe ulikuwa bado haujazaliwa
Nyerere hakuwa na machawa bali alimimya demokrasia, na kukandamiza mawazo mbadala .

Nyerere huyo huyo ndio aliyefuta vyama vingi ila kaja kusifiwa eti ndio alirudisha vyama vingi.

Tofauti ya Moi na Nyerere ni ndogo sana kiutawala , Nyerere walau alifika level tu za juu kielimu ila ukija katika suala la kuzima mawazo mbadala utawakuta kina Oscar Kambona , Abdulrahman Babu, Aboud Jumbe walipokutana na mkono wa Chuma wa Nyerere.

Huku kwa Kenya kina Jaramogi Oginga ,Keneth Matiba ,Robert Ouko wakikumbana na mkono wa chuma wa Moi
 
Kwani kwa waganga mbona mnatoa zaidi ya hizo


Lakini sio kwa hila za wazi za hivyo. Pia haihusishi watu wengi hivyo kwa wakati mmoja.
Halafu waganga wana miiko yao.
Jamaa alikuwa kama anaua nyani hakuangalii usoni.

Halafu hivi vya kuja kwa sura ya Mungu na kulitaja jina la Yesu Mwenyezi Mungu huingilia kati haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…