bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Wachawi inatakiwa wauwawe kwani mna ushirika nao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Irene Uwoya na yeye anakuja na uchungaji. Huyu nyuma yake kuna watu. Wanapataje leseni? Au haihitaji leseni? Inasikitisha. Wajanja wameona ni fursa ya kupiga hela.Serikali inastahili lawama kwa kuwaruhusu wahuni kujipenyeza kwenye mambo ya msingi kama haya kiroho. Bila shaka vigezo vya mtu kuanzisha Kanisa, kuwa mchungaji, nabii, mtume, nk. vimelegezwa sana.
Serikali haina kipimo cha kupima mtumishi wa kweli au uongoSerikali inastahili lawama kwa kuwaruhusu wahuni kujipenyeza kwenye mambo ya msingi kama haya kiroho. Bila shaka vigezo vya mtu kuanzisha Kanisa, kuwa mchungaji, nabii, mtume, nk. vimelegezwa sana.
Nijuinge na upi sasa katika huo niliyotaja?وَأَنَّ هَـٰذَا صِرَاطِي مُسْتَقِيمًا فَاتَّبِعُوهُ ۖ وَلَا تَتَّبِعُوا السُّبُلَ فَتَفَرَّقَ بِكُمْ عَن سَبِيلِهِ ۚذَٰلِكُمْ وَصَّاكُم بِهِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ﴿١٥٣﴾
153. Na kwamba hii ndiyo njia Yangu iliyonyooka, basi ifuateni. Na wala msifuate njia nyinginezo zitakufarikisheni na Njia Yake.[28]Hivyo ndivyo Alivyokuusieni (Allaah) kwayo mpate kuwa na taqwa.
الأنعام
وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّـهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا
103. Na shikamaneni kwa Kamba ya Allaah nyote pamoja, wala msifarikiane
Huo ndio uislamu uliokusudiwa
Makanisa yote Tanzania yamejaa ujanjaujanja tu, KKKT wamegawanyika sasa hivi Kuna KKKT ya Afrika Mashariki lakini hiyo tisa wanatumia sadaka za masikini kuanzisha shule lakini watoto wa waumini masikini hawaruhusiwi kusoma bure mfano mzuri shule za Wakatoliki ada ni mlima kwa masikini kumudu.Havieleweki mtu anaamka asubuhi anajiita Nabii au mchungaji
Tatizo walimtapeli waziri wa zamani wa mambo ya ndani, ni Sawa Sawa na kuwataperi watu wote walio chini ya hiyo wisaraBaada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Ni Nyerere ndio alianzisha Haya mambo AU wewe ulikuwa bado haujazaliwaMtindo wa kulipa machawa waje kusifiwa uliasisiwa na Magufuli huko CCM .
Hizo dini zenu za kitapeli siziungi mkono hata kidogo ila kuna double standard kudeal na hao matapeli maana wengine wanaachwa tu sababu watawala wana maslahi nao.
Wengine hawa hapaBaada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Pale Kinondoni Muslim Secondary school wanasoma bure?Makanisa yote Tanzania yamejaa ujanjaujanja tu, KKKT wamegawanyika sasa hivi Kuna KKKT ya Afrika Mashariki lakini hiyo tisa wanatumia sadaka za masikini kuanzisha shule lakini watoto wa waumini masikini hawaruhusiwi kusoma bure mfano mzuri shule za Wakatoliki ada ni mlima kwa masikini kumudu.
Kwaiyo Manabii wanapigwa vita kwasababu wamewavuta masikini wengi na hivyo makanisa makongwe yanakosa maokoto.Hii ni vita ya maokoto;mtu anasema ooh, Manabii wanauza maji ya upako,mbona kanisa katoliki wanayo nao wanayaita ya baraka🤣🤣.
Mambo ya imani ni magumu,Nabii anauza maji ya upako shilingi 1000-2000 ila Kuna mganga Handeni kwa Msisi anahitaji mbuzi na kondoo na kapelekewa bila maswali ila Nabii akilamba buku tano nongwa!🤣🤣🤣
Mcongo kapiga hela za wajinga
Kumuona Tu laki tano..
Tatizo walimtapeli waziri wa zamani wa mambo ya ndani, ni Sawa Sawa na kuwataperi watu wote walio chini ya hiyo wisara
Kwani kwa waganga mbona mnatoa zaidi ya hizoWanaenda watu wanachanga familia, wanakopa inafika hiyo 500,000/- akifika anaipokea,
Anauliza tatizo ni nini, au saingine makini yake yanamwambia vino macho anapatia tatizo,
Kisha anasema kaleteni 1,000,000/- au milioni 2 ,
Ukiona upunguziwe Ana kufo kwa kwa nguvu, anaku embarrass mbele za watu na bijana wale wanakuja kukutoa nje mkuku na kukudhalilisha.
Katoliki maji ni bure,shule ni gharama kuendeshaMakanisa yote Tanzania yamejaa ujanjaujanja tu, KKKT wamegawanyika sasa hivi Kuna KKKT ya Afrika Mashariki lakini hiyo tisa wanatumia sadaka za masikini kuanzisha shule lakini watoto wa waumini masikini hawaruhusiwi kusoma bure mfano mzuri shule za Wakatoliki ada ni mlima kwa masikini kumudu.
Kwaiyo Manabii wanapigwa vita kwasababu wamewavuta masikini wengi na hivyo makanisa makongwe yanakosa maokoto.Hii ni vita ya maokoto;mtu anasema ooh, Manabii wanauza maji ya upako,mbona kanisa katoliki wanayo nao wanayaita ya baraka🤣🤣.
Mambo ya imani ni magumu,Nabii anauza maji ya upako shilingi 1000-2000 ila Kuna mganga Handeni kwa Msisi anahitaji mbuzi na kondoo na kapelekewa bila maswali ila Nabii akilamba buku tano nongwa!🤣🤣🤣
Nyerere hakuwa na machawa bali alimimya demokrasia, na kukandamiza mawazo mbadala .Ni Nyerere ndio alianzisha Haya mambo AU wewe ulikuwa bado haujazaliwa
Kwani kwa waganga mbona mnatoa zaidi ya hizo