Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

Aliwaibia wasiojua maandiko
 
Nijuinge na upi sasa katika huo niliyotaja?
قُلْ صَدَقَ اللَّـهُ ۗ فَاتَّبِعُوا مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿٩٥﴾

95. Sema: Allaah Amesema kweli. Basi fuateni mila ya Ibraahiym aliyejiengua na upotofu akaelemea Dini ya haki na hakuwa miongoni mwa washirikina.[35] آل عمران

Ukifuata mila ya ibraahiim utafahamu kuwa ahlu sunnat wal jamaa ndy wapo kwenye haqi ijapokuwa kuna watu wa batili waliojichomeka humo
 
Huyu kiboko ya wachawi alivuka mipaka yote ya ustaarabu na mbaya zaidi sio mtanzania. Naipoengeza sana serikali kwa kumfungia. Imfungie na Mwamposa pia.
Kuna siku tuliambiwà tutoe sadaka ili tupewe fursa ya Kumuona. Then tukaitwa na chawa wake. Aliyetoa buku to buku 10. Tukaambiwa Kumuona ni Laki5 because hawezi kuua Mchawi Kwa buku1-10. Kama huna bye-bye Nabii haoni Mtu binafsi Kwa utabiri bila5laki. Kilinge cha Wachawi Kwa kina la Yesu Kristo
 
Huyu mupe yure muruke
 

Attachments

  • 20240728_191719.jpg
    304.3 KB · Views: 2
Okay 👍, Nyerere na magu ni kitu kimoja
 
Wasajiliwe kama waganga wa kienyeji na si viongozi wa kiroho
 
Nachochea mjadala!

 
hao manabii si bora wangejenga hata shule basi, ila kazi yao hawa manabii wa kisasa wa uongo, ni kulala na wanawake na kulipa pesa kwa waganga, kununua magari ya garama, kulipa mishahara mabodigadi na ujinga wote unaoufahamu.
 
Kama mkongo anaweza kufanya lobbying kama hizi, je usalama wa taifa uko wapi?
 
Hata padre waraqa nae?
 
Mtindo wa kulipa machawa waje kusifiwa uliasisiwa na Magufuli huko CCM .

Hizo dini zenu za kitapeli siziungi mkono hata kidogo ila kuna double standard kudeal na hao matapeli maana wengine wanaachwa tu sababu watawala wana maslahi nao.
Magufuliii anaingiaje hapo wewe kima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…