Nyerere hakuwa na machawa bali alimimya demokrasia, na kukandamiza mawazo mbadala .
Nyerere huyo huyo ndio aliyefuta vyama vingi ila kaja kusifiwa eti ndio alirudisha vyama vingi.
Tofauti ya Moi na Nyerere ni ndogo sana kiutawala , Nyerere walau alifika level tu za juu kielimu ila ukija katika suala la kuzima mawazo mbadala utawakuta kina Oscar Kambona , Abdulrahman Babu, Aboud Jumbe walipokutana na mkono wa Chuma wa Nyerere.
Huku kwa Kenya kina Jaramogi Oginga ,Keneth Matiba ,Robert Ouko wakikumbana na mkono wa chuma wa Moi