Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Kesha logwa uyo hao wengi wanabii wanakua wachawi kuvuta watu kifikra kupitia Tv unajua tu hv vitu brainwashed through tv ndo yote haya. Km yule mgawa keki ni ku brain wash watu yale yale ya tb joshuaMimi hizi mambo hata siamini ni dada yangu alikuja kutoka arusha kafikia kwangu akiwa na majanga yake akesema anaenda kwa nabii kiboko ya wachawi huko buza, ndo atasaidika nilimkataza akaniambia mimi saivi ni mtoto wa shetani na atanisema kote kwenye ukoo na maombi juu nikaombewa nakwambia tv ilikuwa ni mwamposa mda wote nk:
Ukute alimpiga na Mashine poleni sana 😁Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Kwa alimuimbia sialiende mwenyew na pesa yeye sindio alitoaYule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Nilijaribu kuelimisha watu kwa hawa matapeli, lakini ni vigumu kuwatoa waTZ toka mikononi mwa hawa Matapeli.Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Huyu ( kwenye hiyo attachment ) yako uliyoiweka kama 'hakumkaza' sijui....!!Wachana na sisi wewe
Afungwe kwa kosa gani? Mukimfunga huyu na mkamwacha mwamposa dunia itawashangaa, maana wote ni matapeli,na utapeli wao una baraka za serikali, wajinga hawaishi,ni kama tu ngombe,kila siku tunakula nyama kwa sababu ngombe za kuchinja hazijawahi kupungua machinjioni.Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
500,000 ndio kilikuwa kiingilio cha kumuona. Ukifanya hivi maana yake unafanya biashara (unatakiwa ulipe kodi). Umekiuka sherti la kuifanya usajili wa jumuiya yako kama ya kidini. Hilo ni moja tu, yapo mengiMimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔
Ina maana alikua anagusa live live dodo za dada zetu..? Huyu alipitiliza