Hao ndio Kichwa Cha Mwendawazimu Sasa.Serikali ya ccm
waacheniHadi lini zitatukaa sawa kwasababu kila kukicha watu wanarudia yale yale makosa ya upigaji.
Ndiyo nimemsikia nitamnukuu kwa kifupi:Umemsikia alivyosema?
Watz tunapigwa kirahc sana.Tena kwa dharau anatucheka
Hakuna jinai kwa matamshi hayoNdiyo nimemsikia nitamnukuu kwa kifupi:
βManake bado Tanzania nawakubali hahahah (kwa kukubali kupigika kirahisi i think) mtajua hamjui wendawazimu hahahaβ. HIvi ndivyo alivyosema au unaona jinai yoyote ktk matamshi yake?
Wewe usingefurahi? Subirini DP World na wenyewe waanze ku post video clips zao wakiwachekeni.Huyu ni mmoja tu lakini wako maelfu hapa Tanzania wanaowadhulumu watu kwa sababu ya matatizo ya maisha yanayowakabili!
Serikali inapaswa kuchukua hatua sasa vinginevyo Taifa linaangamia.
View attachment 3084225
Pia soma: Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio
Ukimpata kabla ya kumuonyesha hizi clips hakikisha kuna vijana wa huduma ya kwanza karibu maana anaweza akazirai kwa hasira!Kuna mzee jirani yangu aliniambia alikwendaga kwa huyo jamaa huko buza,alikuwa anamsifia huyo kiboko ya wachawi nimemtafuta nimeambiwa amesafiri akirudi lazima nimtafute anieleze tena mtazamo wake na hizi clip najua atakuwa kaziona.
Hawa jamaa ni noma wanajua kumuaminisha mtu
Wote wale wale sema tu yule mfumo unamlinda ππ π Mwamposa sina imani nae.. we ngoja tu muda utafika.
CCM Ndiyo Tatizo LetuSerikali ya ccm ilishindwa nini kuzuia akaunti zake
Je? Si rushwa ilitembezwa na kumuacha aondoke baada ya kuwatapeli wananchi.
Ndio maana mm na maswala ya kutoa michango ktk nyumba za ibada sitaki.. ni kheri nimpe maskini mkononi.Wote wale wale sema tu yule mfumo unamlinda π
Ila watu wana hezea sana
Ova
Huyo sio mshenzi, angekuwa n mshenzi asingeweza kuwalamba.Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana