Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Et nakumuona kuhani mussa et laki mbili dah kweli wajinga wengi yan biashara yoyote ukifanikiwa kuwashika wanawake bas ushatoboa maana mwaume kuingia mkenge simple kupitia huyo mwanamke
Nabii anaouwezo wakutengeneza 10 million kwa huduma ya kumuona tu biashara inalipa sana hii
 
Kaharibu sana kujisema hadharani,

Kwanza anazidi kujiweka matatizoni,pili anaharibu huduma za wachungaji wengine anafanya watu wakose imani
 
Et nakumuona kuhani mussa et laki mbili dah kweli wajinga wengi yan biashara yoyote ukifanikiwa kuwashika wanawake bas ushatoboa maana mwaume kuingia mkenge simple kupitia huyo mwanamke
Wanawake ndo wanawapa hela sana maana wao n rahc kudanganyika pia wana matatizo mengi.
 
Kaharibu sana kujisema hadharani,

Kwanza anazidi kujiweka matatizoni,pili anaharibu huduma za wachungaji wengine anafanya watu wakose imani
Kapaniki.

Baada ya kushtukiwa sasa hana cha kupoteza tena ndio anaamua kuropoka.
 
Kazi iendelee anawapiga vibunda na anawatembezea ndonga, Safi kabisa.
 
Afungwe kwa kosa gani? Mukimfunga huyu na mkamwacha mwamposa dunia itawashangaa, maana wote ni matapeli,na utapeli wao una baraka za serikali, wajinga hawaishi,ni kama tu ngombe,kila siku tunakula nyama kwa sababu ngombe za kuchinja hazijawahi kupungua machinjioni.
😄

Ova
 
Tatizo anawaharibia mapastor wwnzake wa kikongo ambao wamejaa hapa nchini

Wote wezi hao ,inasikitisha sana serikali inazidi kuwaacha hao MAJIZI yaendelee kuwaumiza wananchi.

Kiboko ya wachawi mali zake nchi zizuiliwe amezipata kwa UTAPELI wa KUAMINIWA.
 
Wafia dini wamepoteana,nakuja baadae nawapiga tofali la kichwa halafu nakimbia kwa nabii kiboko ya wachawi anaesema kamiss laki tano zenu.
 
Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.

Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.

Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Dah!
 
Asanteni pia 'System' ya Tanzania kwa Kumchekea anavyotutukana, kutudharau na kutudhalilisha Watanzania wote ( akiwemo na Rais Samia ) akitokea huko Kwao Congo DR kwa gharama wa Waumini Wapumbavu baadhi waliokuwa wakienda Kwake Kutapeliwa japo tulikuwa tukiwaonya sana ila Wakatupuuza.

Kwakuwa 'System' mmeamua kumuachia sasa ngojeni 'System' Kivuli tumsake tumalize Shughuli ili Kuiheshimisha Nchi.
 
Kuna watu hao wanajifanya wamesoma sanaaa lkn hawaishi kutapeliwa kila siku mara maji ya upako mara kukanyaga mafuta bora ninyamaze tu
 
Mimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔
Sasa utapeli wake umejidhihirisha kwa clip zilizowekwa na mtoa mada.

Kazi ya Serikali ni kulinda raia na nalu zao.

Imetimiza wajibu wake kufurusha huyo tapeli
 
Back
Top Bottom