Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki tano tuuuWewe alikulamba / alikupiga Tsh ngapi?
Mkuu nimecheka mpaka basi na kwa jinsi nilivyoambiwa kuwa alikuwa Akiwabandua hadi Ofisini Dada yake hajapona.Inawezekana alitoa "kitu" zaidi ya hiyo laki 5 ila wewe kama kaka hujaambiwa
Kutokana na Upumbavu / Upopoma Wao.Watu wamepigwa 😄 sana
Ova
Itakuwa ili aombewe ama apate Bwana au Bwana mwenye Hela. Na sijui kama alimuacha na hakumchapa nao Wote.Dada yako kwanini alimpatia laki 5?????
😄Itakuwa ili aombewe ama apate Bwana au Bwana mwenye Hela. Na sijui kama alimuacha na hakumchapa nao Wote.
Kuna kijana wetu alipotea katika mazingira ya kutatanisha sasa akaenda ili aombewe na aambiwe yuko wapi, sasa kumuona na kuongea nae ilikuwa laki tano,Dada yako kwanini alimpatia laki 5?????
Kwa kweliSiyo mshenzi ni mjanja
kiongozi wa kiroho akimtoza muumini wake ela ili ampatie huduma ya maombezi ni wizi .Kuna kijana wetu alipotea katika mazingira ya kutatanisha sasa akaenda ili aombewe na aambiwe yuko wapi, sasa kumuona na kuongea nae ilikuwa laki tano,
Hata hayo maandiko hayawezi kutosha kukanusha juu ya wizi huo kwasababu bwana wenu mwenyewe amesema wamadhabahuni watakula vya madhabahunikiongozi wa kiroho akimtoza muumini wake ela ili ampatie huduma ya maombezi ni wizi .
Vilevile kutoa utabiri ni makosa makubwa.
Matendo ya Mitume 16:16 siku moja, tulipokuwa tukienda mahali pa kusali, tulikutana na mtumwa mmoja wa kike ambaye alikuwa na pepo wa uaguzi. Naye alikuwa amewapa mabwana zake mapato makubwa ya fedha kwa ubashiri. 17 Huyo msichana alikuwa akimfuata Paulo na sisi akipiga kelele, “Watu hawa ni watumishi wa Mungu Aliye Juu Sana, wao wanawatangazieni njia ya wokovu.” 18 Akaendelea kufanya hivi kwa siku nyingi, lakini Paulo akiwa ameudhika sana, akageuka na kumwambia yule pepo mchafu, “Ninakuamuru katika jina la Yesu Kristo, umtoke!” Yule pepo mchafu akamtoka saa ile ile.
19 Basi mabwana wa yule mtumwa wa kike walipoona kuwa tumaini lao la kuendelea kujipatia fedha limetoweka, wakawakamata Paulo na Sila wakawaburuta mpaka sokoni mbele ya viongozi wa mji. 20 Baada ya kuwafikisha mbele ya mahakimu wakawashtaki wakisema, “Hawa watu wanaleta ghasia katika mji wetu, nao ni Wayahudi. 21 Wanawafundisha desturi ambazo sisi raia wa Kirumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”
Kumbukumbu ya torati 18.9 wakati mtakapoingia katika nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msijifunze kuiga njia za machukizo za mataifa ya huko. 10 Asionekane mtu yeyote miongoni mwenu ampitishaye mwanawe au binti yake katika moto, atakayefanya uaguzi, ulozi, anayetabiri nyakati, anayejishughulisha na uchawi. 11 Wale arogaye kwa kupiga mafundo, wala mwaguzi au anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu. 12 Mtu yeyote afanyaye mambo haya ni chukizo kwa Bwana, tena ni kwa sababu ya matendo haya ya kuchukiza wayafanyayo ndiyo maana Bwana Mungu wenu atayafukuza mataifa hayo mbele yenu. 13 Kamwe msilaumiwe mbele za Bwana Mungu wenu.
14 Mataifa mtakayowafukuza husikiliza wale wafanyao ulozi na uaguzi. Lakini kwenu ninyi, Bwana Mungu wenu hajawaruhusu kufanya hivyo.
Hatari we huyo dada kama mimi niliitwa mputa mputa ,maskani .Nikatembea masafari ya usiku.Nabii ananiletea pigo za kwamba eti niliibiwa manii zangu ndio maana mambo hayaeleweki .Nilimstahi tu kwa kuwa nilikuwa na watu nawaheshimu mazafaka.Mimi hizi mambo hata siamini ni dada yangu alikuja kutoka arusha kafikia kwangu akiwa na majanga yake akesema anaenda kwa nabii kiboko ya wachawi huko buza, ndo atasaidika nilimkataza akaniambia mimi saivi ni mtoto wa shetani na atanisema kote kwenye ukoo na maombi juu nikaombewa nakwambia tv ilikuwa ni mwamposa mda wote nk:
Mathayo 10.8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.Hata hayo maandiko hayawezi kutosha kukanusha juu ya wizi huo kwasababu bwana wenu mwenyewe amesema wamadhabahuni watakula vya madhabahuni
Hatari we huyo dada kama mimi niliitwa mputa mputa ,maskani .Nikatembea masafari ya usiku.Nabii ananiletea pigo za kwamba eti niliibiwa manii zangu ndio maana mambo hayaeleweki .Nilimstahi tu kwa kuwa nilikuwa na watu nawaheshimu mazafaka
Mathayo 10.8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Hao munaowapelekea laki 5 wanasema wajinga wali wao.
Kwakuwa ni wavivu wa kusoma biblia na kupenda short cut matokeo yake wajinga wengi wanapatikana kutoa biblia nikwaajili ya wasomi tu?
Biblia ipo kwa ajili ya wasomi tu? Ambao hawajui kusoma ndo watapeliwe na mungu wenu ndo amefaidika na nini sasa dada yangu kutapeliwa?Mathayo 10.8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Hao munaowapelekea laki 5 wanasema wajinga wali wao.
Kwakuwa ni wavivu wa kusoma biblia na kupenda short cut matokeo yake wajinga wengi wanapatikana kutoa ela Kama dada yako .
Wewe na dada yako mumetapeliwa na mganga wa kienyeji anaetabiri.Biblia ipo kwa ajili ya wasomi tu? Ambao hawajui kusoma ndo watapeliwe na mungu wenu ndo amefaidika na nini sasa dada yangu kutapeliwa?
Mungu kafaidika na nini sasa?Wewe na dada yako mumetapeliwa na mganga wa kienyeji anaetabiri.
Wajinga/Wapumbavu hawaishi.
Kwani wewe na dada yako hamjui kusoma ?Mungu kafaidika na nini sasa?