Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja huwa namuona kila jumapili kwa TV watu wanatoa shuhuda za kufikirisha na kusikitisha sana. Muda mwingi unatumika kwenye matoleo, screen ikiwa imejaa namba za malipo. HUku viongozi wakuu wa serikali wakiwa miongoni mwa walio mstari wa mbele kumpigia debe.Na bado wapo wengine wanaokula na serikali wataendelea kupiga vibunda vyenu mpaka ufahamu utavyowarudia.
Kuna mdada ni mhadhiri kabisa wa chuo kikuu, ana maisha yake mazuri bado akadrive mpaka Dar kwa kiboko ya wachawi. Akapigwa 10M sasa tunamuuliza tatizo lako nini? Kama ni mume mbona una jamaa anakuchikicha kila unapotaka, sasa umepeleka 10M na ni mwezi wa sita sasa mume hujapata na hatuoni dalili. Tukimwambia hata azungushe round moja mezani analeta ulokole, mimi sinunui pombe, na bado kampelekea yule mpaka mikorogo 10M plus safari ya zaidi ya Km 800.Wewe alikulamba / alikupiga Tsh ngapi?
Huyo si njaaa tu inamsumbuaMwarabu fighter anaweza kujiingiza matatizoni kufuatana na tapeli tena hapo aliposapoti ndo kabisa.
Yaani ukiwa huna shida unaweza kuwadharau wanaopigwaYule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Hataki kuchakatwa bure bure anataka Mume MyfriendKuna mdada ni mhadhiri kabisa wa chuo kikuu, ana maisha yake mazuri bado akadrive mpaka Dar kwa kiboko ya wachawi. Akapigwa 10M sasa tunamuuliza tatio lako nini? Kama ni mume mbona una jamaa anakuchikicha kila unapotaka, sasa umepeleka 10M na ni mwezi wa sita sasa mume hujapata na hatuoni dalili. Tukimwambia hata azungushe round moja mezani analeta ulokole, mimi sinunui pombe, na bado kampelekea yule mpaka mikorogo 10M plus safari ya zaidi ya Km 800.
serikali haina dini?Mimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔
Inakuwa changamoto sana kupigwa hiyo pesa yote kizembe hivyo. Hizi changamoto za kimaisha watu wengi tu wanazo. Sasa hata mtu mwenye exposure kubwa kama yake anakwenda kuliwa pesa kizembe vile.Hataki kuchakatwa bure bure anataka Mume Myfriend
Nilikuwa nataka nimchune tu halafu nirudi kwakoKwahiyo mi umenifanya wa akiba hadi uachane nae ndo unikumbuke?
Lazima mjipe matumainiHata wasilamu wanaibiwa na kina Sule hata kiboko ya wachawi hakukosa waumini waislamu
Nikupe scenario fupi, Mwanamke msomi aliyesoma Tabora Girls au Kisakara anajibidiisha na masomo kiasi kwamba hata akipigiwa mruzi na vijana wa kiume hageuki.Inakuwa changamoto sana kupigwa hiyo pesa yote kizembe hivyo. Hizi changamoto za kimaisha watu wengi tu wanazo. Sasa hata mtu mwenye exposure kubwa kama yake anakwenda kuliwa pesa kizembe vile.
Ulichokiandika ndicho kinamsumbua huyu bibie, hata kwenye maongezi ya kawaida tu unamuona kabisa kuna kitu anakitaka na anaona muda unayoyoma. Nakubaliana na wewe kabisa, wengine wanaokwenda kwa hawa manabii wanakuwa wana kitu wanakihitaji na hawaoni suluhisho katika hali ya kawaida.Nikupe scenario fupi, Mwanamke msomi aliyesoma Tabora Girls au Kisakara anajibidiisha na masomo kiasi kwamba hata akipigiwa mruzi na vijana wa kiume hageuki.
Mwanamke huyu hataki kupotezewa focus kwenye malengo yake. Anasoma kwa bidii mtihani anapasua wanaume wote anawaacha mkiani.
Anamaliza elimu ya form four na form six anajiunga chuo. Huko chuo maisha ni yale yale. Kumbuka chuo kikuu ukitaka kupasua A's sio masihara, Dada anagonga GPA mlima.
Anaamua kuongeza na masters ili afike mbali zaidi. Huyu ni Mwanamke ambaye hajawahi kulala na mwanaume akapigwa miti kisawa sawa. Hajui faida ya wanaume. Kwanza anawazidi kimasomo, na hakuna aliyewahi kumchimba madini( K).
Baada ya Masters sasa anagonga 30. Hajaka sawa anapangwa kazi Arusha kabla hajakaa vizuri ndani ya miaka 2 anagamishiwa singida.
Kwa kuwa amesoma anatamani aolewe na mtu mwenye hadhi kama yake(Sahihi). ..anafanya kazi Benki anakutana na meneja naye alishaoa ana watoto na vile vile miti hawezi kupiga kashajichokea, viwili tu analala.
Huyu Dada tayari mpunga unaanza kumfata alipo, fursa kibao. Mara anaaza kubleed mfululizo kuja kupima anaambiwa ana a
myoma, sababu amechelewa kuzaa.
Mkuu irregula menses zinamtoa Mwanamke kwenye line moja kwa moja kama mwanamke. Anajua hakuna Mwanaume tena wa kumtaka.
Anahisi kuna mkono wa mtu sio bure. Kwanza hajawahi kujua thamani ya mwanaume, ndio kwanza kapata pesa na utulivu majanga yameanza Pedi anakausha maduka.
Anasikia kuna Kiboko ya Wachawi anakomesha kila aina ya magonjwa ya kichawi, laana mikosi na mabalaa.
Aki tune redio anasikia na MaRC na Mawaziri na wao wanamtembele huyo Mr Kiboko. Anaamini kweli huyo jamaa ni kiboko.
Bidada huyu hana shida ya pesa kivile, anashida ya Ustawi anatamani apate mwanaume wa ukweli wa kumchimba madini na yeye Ainjoy mafanikio yake ya elimu na Uchumi.
Hovyo tu.Inashangaza sana kuona wenzako ni wajinga ilhali nawe upo katika upotofu. Huko katika ukatoliki hauko katika ukristo pia. You are in another deep satanic cult of catholism and you also need deliverance.
"Kama ukishindwa kutumia pesa zako vizuri watu kama hawa watakusaidia kuzitumia"Kuna mmoja huwa namuona kila jumapili kwa TV watu wanatoa shuhuda za kufikirisha na kusikitisha sana. Muda mwingi unatumika kwenye matoleo, screen ikiwa imejaa namba za malipo. HUku viongozi wakuu wa serikali wakiwa miongoni mwa walio mstari wa mbele kumpigia debe.
Sasa likimfika asitie huruma.Huyo si njaaa tu inamsumbua
Ova
Shida Uahamiaji wapuuzi sana wanatoa vibali vya kazi za kijinga mno.Huyu jamaa alitakiwa apewe kesi moja akae jela kama mwaka1 apate akili.
Sasa mi ntakuaminije?Nilikuwa nataka nimchune tu halafu nirudi kwako