Kiboko ya Wanandoa na wapenzi wasio waaminifu

sasa unataka kuvunja ndoa za watu wewe na KIBOKO huyo, mtapata laana
 
angalia na upande wa pili mkuu hiyo sofware yako inaweza ikawa dhumuni lake ni kubamba mambo ya cheating kwenye mahusiano ila pia inaweza ikawa ni njia nyingine ya kuongeza uhalifu kwa kutumia utaalamu huo kupata info za watu mbalimbali. Hilo wewe umejiandaa nalo vp, naomba pia nielimishwe kidogo coz nashindwa kuelewa kama hizi software zinapouzwa huwa hakuna haja ya kusajiliwa au kuhusisha vyombo vya sheria?
 
Hiyo software uzushi mtupu, watu tunaishi na tunajuana wenyewe hata nikimkamata sitamfanya chochote zaidi ya kuumia mwenyew ya nini! mwache aende akichoka ataacha ilimradi ananihudumia.
 
How does this sound legally? Is it not something to do with other people's privacy?
 
Mimi naikubali tech. hiyo .Lakini naomba majibu.
1.Utaipataje cm unayotaka kuispy?
2.Je inaingiliana na phone au cm card ? maana cm kard inaweza kubadilishwa any time
3. Inatumia njia gani? BLuetooth au what? kuconnect na hizo cm mbili ?

Ukinijibu nitauliza mengine mawili matatu kable sijajitolea kwenye hii phase ya majaribio
 

1.Hii ni kwa wanandoa ,wapenzi,mtoto wako---simu ya mkeo na yako kwa pamoja zitatakiwa kufanyiwa installation ya hii software.mfano unamwazima mkeo simu yake kwa siku moja kumbe unaenda kuifanyia installation then unamrudishia,hawezi kujua hata kidogo kuhusu nini kinaendelea.

2.Kwa sasa trial hii imefanikiwa kwenye phones zote na SIMs za aina yote.

sasa kwa line ya mkeo ni rahisi zaid.hata kama atabadilisha line ingine akiweka kwenye hiyo phone,software ina auto detect na kukurequest kuspy au la.

3.Air interface.& other radio technical staffs.
 
Isn't this a violation of basic human rights???? tapping phone conversations or any other form of communication ni hatia unless its ordered by the court!!!!
 
Inaoneya intelijensi wewe ni muathirika wa kuibiwa nje.

Dawa ya kuibiwa nje ni moja tu!! kaa naye muongee kwa uwazi yepi hamyapendi kati yenu na namna ya kuboresha.

Ila kwa mie mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu sidhani kama hiyo software itakuwa active au kuniwekewa kigingi hata kama ikiwa installed kwenye kiungo changu pale chini bado nitakula nje na hata harufu haitatoka. shurti ujue how to each chapati ati...

suala jengine nachelea kuipokea software yake isije ikawa bhazee mko kazini kutufuatilia mpaka private zetu eti kisa sisi wajumbe wa JF ebo!
 

O.k How about the charges? kama kopi ya msg itakuja kwa simu yako ina maana kuna charges za kuileta kwako. Right? Na wenye ndoa wakeshajua iko kitu ya namna hii si ukimwazima cm atagoma? Well keep it up. Nataka kuwa Gunea pig au unasemaje Mkuu?
 

This is a huge fantasy.

Wishful thinking can be detrimental to your mental health.
 
Ufisadi mpya .............. Bongo wanajua kubuni hela....... Hiyo kiboko ni uwongo mtupu kwani hata kama ni kweli ni lazima sheria ipite na kibali ipatikane kutoka vyombo husika
 
kijana naona umemlenga mwanamke zaidi ktk kumchunguza.
unadhani nao wana haki ya kutuchunguza sisi wanaume au ndo uchungu wa kuibiwa aujuaye ni mume?
 
Huwezi kuichunga bahari watu wasiogelee!! Heshima anayo mtu mwenyewe, kuanza kumonitana ni kujiongezea headache ushindwe kufanya vitu vya maendeleo uitolee simu macho kutwa saa ngapi itaingia msg nikamfumanie!!!
 
umechemka kaka, nafikiri huo mtego mtegee mkeo kwanza uone suluba yake halafu utuletee na sisi. Ulimwengu huu hakuna mtu mwaminifu, wake zenu wanautembeeza sana tu, waume nao yale yale. tuombe mungu tusipate magonjwa.
 
Huwezi kuichunga bahari watu wasiogelee!! Heshima anayo mtu mwenyewe, kuanza kumonitana ni kujiongezea headache ushindwe kufanya vitu vya maendeleo uitolee simu macho kutwa saa ngapi itaingia msg nikamfumanie!!!
 
Naona sasa unataka watu waanze kuandikiana vi msg na kuvificha watakapokubaliana km(chini ya mti, chini ya jiwe n.k) au kuandikiana barua kuridi sasa maana naona hata watu walisha sahau S.L.P zao. Kasheshe jamani.
 
Tech spiking mi nakupa bigup kama kweli umeweza kuunga codes mpaka zikakupa majibu ya maana, Tanzania inahitaji sana kuwa na maikrosofti yake! soft kama hii wateja wapo wengi sana, namaanisha WENGI SANA mzee, hesabu umeshauaga umaskini, na wasishangae ukawa ze next bili gets!! Pamoja na hayo, naona kuna mambo mengi sana unayafichaficha! vp kuhusu connection types zinazopatikana na charges zake? yaani mtu atahitaji muunganisho wa aina gani? umesema internet conn, inakuwaje kwa sm zisizokuwa na uwezo wa GPRS? na inakuwaje kuhusu gharama za CALL/SMS FORWADING? gharama inaingia kwa nani?
 
nimejaribu kufikiria nikaona kuna mambo mengi sana ambayo hujayaelezea na ambayo ni impossible kwa sasa
1 hio memory kurecord itakuwa wapi mfano mtu anaongea kwa nusu saa unasema unamrecord kama simu ina memory ndogo itakuwaje
2 umesema unaweza ukamsikia mke/ume wako live akiongea wewe ukiwa sehemu nyingine hio inawezekana ila gharama itakuwa kubwa mfano mke au mume amepigiwa na simu yake haina hela hata kidogo itawezaje kurusha hizo info wether kwa internet au kwa GSM.
hii ya kutuma messege naiona ni rahisi kidogo ila bado najiuliza hizo coast zinakuwaje mfano kutuma sms ni sh 54 nikituma kwa mtu wa kwanza tu kama simu ilikuwa na sh 70 itabakia 16tsh ambayo haiwezi tuma copy kwako na hivyo hutaweza kupata info

mimi kwa mtazamo wangu au kwa ushauri labda kama ungekuwa a cmu za dizaini fulani may be memory ni 4GB kila kinacho fanyika kinarecordiwa kule kwa hiyo we ukipata mda unaangalia na kuvyifuta katika cmu ya mwenzako hio ingeweza kusaidia bila extra cost za kutuma maongezi yote.

na kama utataka hivyo vyote unaweza kuongea na ma kampuni ya simu may be unaweka tsh laki moja hio inakuwa special kwa ajili ya hayo mawasiliano kila ikifika ma be 20,000 unaletewa messege uongeze pesa kwenye hidden account yako. kama ingekubalika ingekuwa rahisi ila sheria haziruhusu kitu kama hiko

mzee hebu jipange utuletee maelezo vizuri au utuombe ushauri
kwangu mimi kwa ellimu yangu ya information technology nasema tena haiwezekani
 
Kwa ufupi sana ndugu Inteligence, hii kitu kwa sheria za sasa za Bongo ni kosa la jinai, hata kama utafanya hivyo kwa mke wako. Labda subiri mpaka hapo Bunge litakapobadilisha sheria na kuruhusu matumizi ya vitu kama hivi, au tafuta Mbunge mmoja apeleke kama hoja binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…