Hiyo software inaweza kufanya kazi kcni za wenzetu ambako kuna utaratibu wa kumiliki simu, ila huku kwetu unaweza kuwa na simu hata tatu na nyumbani inajulikana moja tu ambayo labda wife/mume anaweka hiyo software. Mkuu mtu akiwa mharibifu ataharibu tu regardless of how you can monitor him/her.
ni ugunduzi mzuri I appreciate ila kwa aina ya wanadamu wanao ishi duniani kwa sasa both men and women utakuwa unajitafutia ugonjwa wa moyo uje kufa bure.even though ni kifaa kitakachouzika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.