Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa wanachama wa Chadema walikamatwa na kuburuzwa Mahakamani, kwa kosa kubwa la kukutwa kwenye kikao cha ndani wakijisajili kwa njia ya kisasa ya CHADEMA DIGITAL.
Leo serikali imetangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Hata hivyo wanachama wa Chadema kwa maelfu wanakabiliwa na kesi za uongo zilizotengenezwa wakati wa Uchaguzi wa mashaka wa 2020, na wengi wao bado wako mahabusu hadi sasa.
Mungu ibariki Chadema