Kibondo, Kigoma: Wanachama 36 wa CHADEMA wafutiwa kesi na kuachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Hawa wanachama wa Chadema walikamatwa na kuburuzwa Mahakamani, kwa kosa kubwa la kukutwa kwenye kikao cha ndani wakijisajili kwa njia ya kisasa ya CHADEMA DIGITAL.

Leo serikali imetangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Hata hivyo wanachama wa Chadema kwa maelfu wanakabiliwa na kesi za uongo zilizotengenezwa wakati wa Uchaguzi wa mashaka wa 2020, na wengi wao bado wako mahabusu hadi sasa.

Mungu ibariki Chadema
 
Ni mwanzo mzuri wa kudhoofika kwa CCM. CCM bila support ya dola hainanguvu ya kushindana na CHADEMA.
wanachama wa chadema wanapenda chama, wakati wale wa CCM ni hela ya serikali. Wakikosa hiyo hela hawajui lolote kuhusu CCM
Ni kweli.
Lakini sijutii kuwa mwanaccm kwani ni sehemu ya somo la kupambanua
 
Kukiichwa kutapambazuka..Mungu ibariki CHADEMA![emoji1545]
 
Ni mwanzo mzuri wa kudhoofika kwa CCM. CCM bila support ya dola hainanguvu ya kushindana na CHADEMA.

wanachama wa chadema wanapenda chama, wakati wale wa CCM ni hela ya serikali. Wakikosa hiyo hela hawajui lolote kuhusu CCM
Toa mfano angalau wa mpenda fwedha mmoja au wawili mkuu
 
SHETANI LAZIMA APATE AIBU
 
Tuna polisi ya ajabu sn nchi hii
 
Ni mwanzo mzuri wa kudhoofika kwa CCM. CCM bila support ya dola hainanguvu ya kushindana na CHADEMA.

wanachama wa chadema wanapenda chama, wakati wale wa CCM ni hela ya serikali. Wakikosa hiyo hela hawajui lolote kuhusu CCM
Ni zile teuzi
 
Amen.
 
Wanaccm- Mnatafunika rohoni kuona maelewano yanayoendelea kati ya Chadema na kiongozi mkuu wa nchi.

Mliokuwa mnafaidika na migogor tafuteni kazi nyingine. Kibarua kimeota nyansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…