Kibondo, Kigoma: Wanachama 36 wa CHADEMA wafutiwa kesi na kuachiwa huru

Ni mwanzo mzuri wa kudhoofika kwa CCM. CCM bila support ya dola hainanguvu ya kushindana na CHADEMA.

wanachama wa chadema wanapenda chama, wakati wale wa CCM ni hela ya serikali. Wakikosa hiyo hela hawajui lolote kuhusu CCM
Mwenyeketi wa mtaa ccm hawezi kuhudhuria mkutano wowote wa ccm bila kupewa japo Buki tano.

Hii ndio tofauti.
 
AllahuAkbar
 
maadui wenye kuiombea nchi yetu mabaya watabaki wanapiga miayo.
Umoja ni nguvu........................mshokamano wetu ndio nguvu kwa Taifa letu.
tushikamane kuijenga nchi yetu bila kujali wewe ni chadema, cuf, ccm n.k, sisi sote ni watanzania,, Baba yetu mmoja na Mama yetu ni mmoja tu.
 
Mwamba kajitoa muhanga wengi watapona, na mbeleni Nuru. Utashangaa wajinga wachache wanambeza Mbowe.
 
Mkuu hao walikuwa na kesi ya kukusanyika, ni kwenye hizi harakati za katiba mpya. Sio wa uchaguzi 2020
 
Viva mbowe vivaaaaa
viva Lisu vivaaaaaaaaaa
viva chadema vivaaa
viva mnyika vivaaa
viva chadema vivaaaa
viva sugu vivaaa
viva chadema vivaaa
viva samia vivaaaaa

Viva yangu nitaitoa endapo tu kutakuwa na Fairplay 2025
 
Kweli kabisa cc kama taifa.
Hatutarudia tena kuchagua raisi dictator uchwara kama magufuli.
Raisi asiyependa haki kama magufuli.
Raisi asiyefuata sheria kama magufuli
Raisi anayeua na kuteka watu kama magufuli
Raisi asiyependa uhuru wa habari na kisiasa kama magufuli
Asiyepandisha watumishi wa umma mishahara kama magufuli
Anayeingilia na kuua vyama vya wafanyakazi kama magufuli
Anayepora wakulima mazao yao kama magufuli
Anayepandisha mankato ya bodi ya mikopo kama magufuli
Aliyeiba uchaguzi kama magufuli
HATUTAFANYA TENA HILO KOSA. TUNATAKA RAISI WA WATU WOTE HATUTAKI RAISI WA WASUKUMA HAPA
 
Mkuu hao walikuwa na kesi ya kukusanyika, ni kwenye hizi harakati za katiba mpya. Sio wa uchaguzi 2020
Nafahamu lakini kumbuka kuna kesi nyingi sana za uchaguzi wa 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…