Mwizi atakuwa mdada wa kaziUnaimarisha fensi na mbwa na security alarm plus camera......
mambo ya kuweka grill yamepitwa na wakati...
lakini pia majengo kama haya hayapatikani uswazi......
is a matter of neighborhood
Binafsi napenda sana huu muonekano
Kama CDF mwenuewe anaishi kwenye fence na ana walinzi wanajeshi wawili 24hrs....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kuna nyumba ipo ununio pale haina gril hata moja na hawajaweka fence na nyumba ya ghorofa
Wapendwa nimependa sana hili dirisha sasa dirisha Langu ni kubwa ila la vioo vidogo vidogo je Mafundi wa humu ninaweza kubadilisha dirisha Langu liwe kama hili???kwangu Usalama ni wa kutosha Mafundi nasubili Majibu Asante.
Isitoshe mtu anaweza kuhack camera, akaizimaNi kweli hakuna hata DNA database ya wahalifu. Picha za cctv camera kwa aliyefunika uso haziwezi kuwa ushahidi wa kutosha.
Kuzuia uizi uliokithiri. Outside huko hakunaga grills
Sijakuelewa Mkuu fafanuaKuzuia uizi uliokithiri . Outside huko hakunaga grills
Samahani Mkuu kwahiyo dirisha la hivi hapa bongo halifai?Isitoshe mtu anaweza kuhack camera, akaizima
Bongo hizo grills ni Kwaajili ya kuzuia uizikwa asilimia kubwa hata zamani madirisha ya mbao yaliwekewa grillsSijakuelewa Mkuu fafanua
Unajua wazungu wametuzidi kwenye kila kitu hata kama vya kijinga nasema hivyo kwa sababu inashangaza mwizi anaingia kwako anaiba hadi Sufuria la Ubwabwa.We wazungu waache waonekane ndo race ya akili kubwa.Dodoma walikuja wawekezaji wa nyumba za mbao ambazo unajenga kwa bei poa na ni nzuri kichizi ila kutokana na wizi wa kijinga walikosa market kwa sababu wezi wakija wanakuiba hadi wewe ukiwa umelala ukijenga nyumba ya mbao.Sababu ya wezi
Ohh Ok NimekuelewaBongo hizo grills ni Kwaajili ya kuzuia uizikwa asilimia kubwa hata zamani madirisha ya mbao yaliwekewa grills
Isiwe uswahilini tu. ,lazima watoto watumwe kurusha mawe[emoji23][emoji23]Samahani Mkuu kwahiyo dirisha la hivi hapa bongo halifai?
Jenga nyumba ya hivi Mbagala,utafurahi mwenyewe...
[emoji23][emoji23]Isiwe uswahilini tu. ,lazima watoto watumwe kurusha mawe[emoji23][emoji23]
More examplesWanaojenga madirisha ya hivyo no wale wanaojenga nyumba kwenye kiwanja kikubwa kiasi majirani kawatupa mbali kabisa anaweza akatoka at a nje akiwa huchi anajua hakuna anaemuona zaidi ya ndege tu.
Sasa wewe mwantumu na kiwanja chako cha 20 kwa 20 tuwekee huo mdirisha tukupige chabo.
View attachment 2032610
View attachment 2032611
View attachment 2032612
Ukitengeneza kioo Cha epoxy resin chenye walau inch 6 hakuna jiwe litadunda Sky Eclat Hebu nipe hiyo kazi.Hapa wanatupa Fatuma vioo kwisha habari yake.