Biashara ya kuchuuza brotherHowdy,
Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.
Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo shangingi, watoto wanapanda basi la njano ila siyo international, majirani wanasema unaringa ila siyo majirani wana pool party. Levo hizo
Hata kama mtu anatafuta wa kumsaidia we huwezi kuwemoWe unapanga kununua nepi hata mtoto hajazaliwa
Kutusua itakuwa ngumu sana maana unawaza starehe kabla ya kuzipata daa
Bado huwa natafuta wa kuwasaidia ila wewe haumo naona mtaji wa kwanza ntakukuta bar [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Natania tu mkuu usichukulie kila linaloandikwa ni kweli I was jokingHata kama mtu anatafuta wa kumsaidia we huwezi kuwemo
Biashara zinatofautiana mkuu..kuna ambazo hutumii nguvu ila unapata hela na zingine ili ufikishe hiyo hela inabidi utumie nguvu sanaKila Biashara inafaida cha msingi ni bidii na hiyo Biashara.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
umepata 100% kwenye kipengele cha ubayana (clarity). Wengi wa wajasiriamali wanapambana kukua lakini hawana ubayana wa kukua wanamaanisha nini?Howdy,
Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.
Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo shangingi, watoto wanapanda basi la njano ila siyo international, majirani wanasema unaringa ila siyo majirani wana pool party. Levo hizo
Nimekupata, shukrani sanaumepata 100% kwenye kipengele cha ubayana (clarity). Wengi wa wajasiriamali wanapambana kukua lakini hawana ubayana wa kukua wanamaanisha nini?
Upande wangu , wazalishaji wako wengi kwa kila sekta, ukiweza kujikita kwenye utaalam wa masoko (kukuza database ya wateja kila siku) hapo unatusua hata bila kulangua,unakuwa mtu wa kati, a.k.a mali kauli a.k.a dalali
Watu wa udalali wanapata pesa kwa urahisi na advantage yao nyingine hawana stress ya usumbufu wa masuala ya kodi za TRA na kodi za pango.umepata 100% kwenye kipengele cha ubayana (clarity). Wengi wa wajasiriamali wanapambana kukua lakini hawana ubayana wa kukua wanamaanisha nini?
Upande wangu , wazalishaji wako wengi kwa kila sekta, ukiweza kujikita kwenye utaalam wa masoko (kukuza database ya wateja kila siku) hapo unatusua hata bila kulangua,unakuwa mtu wa kati, a.k.a mali kauli a.k.a dalali
Bado unadhana potofu juu ya udalali.Ukiwa dalali utaanza kucheza BAO mda wote vijiweni Huku unakunywa kahawa na alkasus
Mchuuzi anafanya kazi kwa bidii apate Kodi na Hela ya kula. Malipo hayatoendana na nguvu zako
Mzalishaji unaweza kufika mbali sana kibiashara. Unaweza ukajikuta tembo na jamii yote inakujua. .
Sawa