Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

Kwangu biashara nzuri ni ile ambayo unanunua bidhaa huku ukiwa una wateja maalum unaoenda kuwauzia ambao ni wa uhakika lakini hizi za kusubiri wateja kwa Kudra za Mungu ni uongo asee
 
Tena uongo mkubwa ndio maana now days kukaa na biashara ya aina moja kuyumba lazima, na ukienda bank utashindwa kulipa tu
 
Howdy,

Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa.

Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo shangingi, watoto wanapanda basi la njano ila siyo international, majirani wanasema unaringa ila siyo majirani wana pool party. Levo hizo
Udalali una pesa sana hapa mjini,,nimeshuhudia dalali anakula hela nyingi kirahisi sana mpka nikachukia kama vile mali ni yangu.

Kuna ndugu yangu alikua anauza gari yake mizigo 12M. alihangaika kutafuta mteja sana akakosa mteja,, kila mteja alikua anasema 10M basi.. Akamwambia kuna dalali wa magari baada ya wiki 2 yule dalali alikuja na mteja kununua ile gari 19M. Baada ya mteja kuondoka akachkua 7M kirahisi tu.

Madalali wa mazao hawa ndo hatari, anakuja anakuta shamba lako umehangaika anakwambia hapa nakupa milion 2.

Kuna wafanyabiashara wanaleta viazi hapa dar wanawapa madalali mabibo wauze. Kuna kipindi viazi vinawakata sana wafanyabiashara ila dalali hela yake ipo pale pale hata upate hasara.
 
Mm huwa nawaheshimu sana watu wanaoniambia nenda kauze pale kwa bei uliyopanga. Ni sawa wakipata pesa. Wameuza information. Tatizo la madalali wetu wana utapeli. Anaweza kusifia kitu asichokijua au kulazimisha biashara anayojua kabisa hii inaenda kumuumiza mnunuzi. Ila ukiwa na kampuni ya udalali na ukaiendesha kwa waledi, ni kazi sahihi kabisa maana unauza taarifa.
 
Hii kampuni ya type hii ipo bongo?
 
Hii kampuni ya type hii ipo bongo?
Zipo ila naona zinadeal na corparate customers na wateja kutoka nje.

Sasa mtu anaweza kufungua hii akaboresha iwafae watu wa kawaida kabisa. Akijenga jina huenda atatengeneza pesa.
 
Biashara zinatofautiana mkuu..kuna ambazo hutumii nguvu ila unapata hela na zingine ili ufikishe hiyo hela inabidi utumie nguvu sana
Zi ainishe kwa kuzitenganisha hata tatu, tatu tu
 
Hii kampuni ya type hii ipo bongo?
Wapo wengi tu nawaonaga youtube na Instagram,kuna jamaa yeye huwa anatangaza mijengo ya kuanzia milioni 600 hadi 4billions hadi unajiuliza hii mijengo anauzaga huyu jamaa kweli baada ya wiki 2 anapost picha huo mjengo anaandika SOLD(ishauzwa) kisha analeta mjengo mpya.
Ni kazi ina pesa sana ukiifanya kisomi.
 
Mm huwa nawaheshimu sana watu wanaoniambia nenda kauze pale kwa bei uliyopanga. Ni sawa wakipata pesa. Wameuza information. Tatizo la madalali wetu wana utapeli. Anaweza kusifia kitu asichokijua au kulazimisha biashara anayojua kabisa hii inaenda kumuumiza mnunuzi. Ila ukiwa na kampuni ya udalali na ukaiendesha kwa waledi, ni kazi sahihi kabisa maana unauza taarifa.
Aliyebuni ile KUPATANA sijui alifeli wapi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom