Kibonzo Cha Siasa Za Chadema

Mbona Kenya wanachama wa ODM hawajawahi taka Raila Odinga aachie madaraka ODM pamoja na kuunga mkono Serikali ya Uhuru Kenyata na sasa Ruto pia
 
Uraibu (addiction) inafichwa na hali nzuri ya maisha......ndio maana Marekani unakuta mtu yupo fresh na maisha yake kumbe anakunywa dawa za uwendawazimu....
Ni sahihi kabisa
 
Mbona Kenya wanachama wa ODM hawajawahi taka Raila Odinga aachie madaraka ODM pamoja na kuunga mkono Serikali ya Uhuru Kenyata na sasa Ruto pia
Kwakuwa bado wanamatumaini makubwa na yeye,bado wana imani nae ya kuwafikisha nchi ya ahadi

Naamini kabisa kama FAM angekuwa bado katika nyoyo za watu tusinge yasikia haya ambayo tunayasikia sasa
 
nIlikuwa naona jamaa anaitwa mzee wa konyagi nikawa sielew,hv karibuni ndo nikaona picha aliyopiga bahat mbaya kulikuwa na kachupa ka konyagi,sasa kuanzia hapo wabongo wameshikilia bango utazan wao huwa hawatumii
 
Kama ni ile picha na mwanae ni feki hakukuwa na bapa pale,hata jukwaa la jamiichek lilitoa ufafanuzi na kuchapisha picha halisi

Ila mwamba kwa mujibu wa wadau anakula bapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…