Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hy picha n feki, h ishu ilianzia bungeni wakati wa spika Ndugai, mbowe alisema alivamiwa na watu wa system wakamvunja mkono. Ndipo Ndugai akasema jamaa alikunywa konyagi ndipo akaanguka kwa bahati mbaya na kuvunjika mkono.nIlikuwa naona jamaa anaitwa mzee wa konyagi nikawa sielew,hv karibuni ndo nikaona picha aliyopiga bahat mbaya kulikuwa na kachupa ka konyagi,sasa kuanzia hapo wabongo wameshikilia bango utazan wao huwa hawatumii