Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
20240315_081057.jpg


King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.

Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushiba.

Aina ya takataka ni mifupa ya kuku, bia chupa tupu na sahani zilizotumika.

Cha kushangaza, wa mwisho anayetupa, kavaa shati la mikono mirefu, shati ya kijani!!!!

Wana JF, tufumbue hili fumbo.

Lakini wewe King Kinya wewe, ingekuwa Awamu ya Tano, Kamanda Muliro angekuhusu.
 
Ina maana dhambi zao, yaani baada ya kula kushiba mpaka kutapika, wamebaki kumtupia uchafu usioelezeka....?

Ila duh, ujumbe ni mzito na unahitaji jicho la utatu.

Lahasha, kila mwenye nalo, atakuwa na tafisri yake.
 
Back
Top Bottom