Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

View attachment 2934967

Kipanya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.

Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushuba.

Aina ya takataka ni mifupa ya kuku, bia chupa tupu na sahani zilizotumika.

Cha kushangaza, wa mwisho anayetupa, kavaa shari mikono mirefu, shati ya kijani!!!!

Wana JF, tufumbue hili fumbo.

Lakini wewe Kipanya wewe, ingekuwa Awamu ya Tano, Kamanda Muliro angekuhusu.

SAHIHISHO
Sorry nimezoea kuona Kipanya kibonzo cha sehemu hiyo.
Leo hapo yupo KING KINYA.
Kunradhi Kipanya, mods msaada tutani.
Huyu ni mwendazake Nduli jpm
 
Wasichokijua ni kwamba wapigakura wengi huwaambii kitu dhidi ya Jiwe
😆😆😆 aliyoyafanya ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake hayahitaji chawa wala mabango, yanajitangaza yenyewe.
 
View attachment 2934967

King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.

Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushuba.

Aina ya takataka ni mifupa ya kuku, bia chupa tupu na sahani zilizotumika.

Cha kushangaza, wa mwisho anayetupa, kavaa shari mikono mirefu, shati ya kijani!!!!

Wana JF, tufumbue hili fumbo.

Lakini wewe King Kinya wewe, ingekuwa Awamu ya Tano, Kamanda Muliro angekuhusu.
Huyo kiongozi alianza kujitupia takataka mwenyewe tangu alivyokuwa hai.

Kawapa urahisi hawa wa sasa kumtumia yeye kama chaka lao tu.

Yani kiongozi aongee maneno mbovumbovu waziwazi na kujichafua mwenyewe mchana kweupe tunamuona halafu mnategemea akifa asitupiwe takataka kweli?

Ujinga gani huo?
 
View attachment 2934967

King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.

Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushiba.

Aina ya takataka ni mifupa ya kuku, bia chupa tupu na sahani zilizotumika.

Cha kushangaza, wa mwisho anayetupa, kavaa shati la mikono mirefu, shati ya kijani!!!!

Wana JF, tufumbue hili fumbo.

Lakini wewe King Kinya wewe, ingekuwa Awamu ya Tano, Kamanda Muliro Na yule rsia feki anaye jiona muarabu mwenye wajomba oman kahaba wa makunduchi mbona ajamchora yeye akisha kula na kuvimbiwa ndiyo ananyea hapo kwenye ilo kaburi kabisa
 
View attachment 2934967

King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya.
Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni.

Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushiba.

Aina ya takataka ni mifupa ya kuku, bia chupa tupu na sahani zilizotumika.

Cha kushangaza, wa mwisho anayetupa, kavaa shati la mikono mirefu, shati ya kijani!!!!

Wana JF, tufumbue hili fumbo.

Lakini wewe King Kinya wewe, ingekuwa Awamu ya Tano, Kamanda Muliro angekuhusu.
Na yule raia feki anaye jiona muarabu mwenye wajomba oman mbona ajamchora maana yeye ndiyo akisha vimbiwa anakwenya kunyea kaburini kabisa.
 
😆😆😆 aliyoyafanya ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake hayahitaji chawa wala mabango, yanajitangaza yenyewe.
Ni kweli kabisa. Yaani mazuri na mabaya yake hayahitaji mwenezi kuyapigia promo...
 
Hoja yangu ni hii.
Kila kitu alichofanya Magu kilitendwa na WATU, watu hao ni CCM na dola.

Sasa leo unatulazimisha tuamini kuwa kutokuwepo kwa Magu ndo tatizo limeisha? Kwa nini tuamini ubaya wa Magu kana kwamba aliyatekeleza yote hayo peke yake?
Maagizo yalikuwa ya kwake, na hata Sasa sio kwamba tunawaamini hao akina Makamba, lakini tatizo sio kubwa kwa kile kiwango Cha Magufuli.
 
Bora volkano mfu kuliko iliyolala.

Si unafahamu hilo?
 
Huyo kiongozi alianza kujitupia takataka mwenyewe tangu alivyokuwa hai.

Kawapa urahisi hawa wa sasa kumtumia yeye kama chaka lao tu.

Yani kiongizi aongee maneno mbovumbovu waziwazi na kujichafua mwenyewe mchana kweupe tunamuona halafu mnategemea akifa asitupiwe takataka kweli?

Ujinga gani huo?
Well said
 
Usichanganye mbinu na uhayawani.
CCM ni lazima itumie huo uhayawani Utake Usitake kwa sababu Katiba ya JMT inawalazimisha kukaa Madarakani 😂😂🔥

October Uchaguzi wa Serikali za mitaa mnakutana na Mahera yule yule 🐼
 
Watakaokutana na Mahera ni hao wenye muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Back
Top Bottom