Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

Unapokuwa umekunywa chaso na kutafunia mihogo ya booster unakuwa unaropoka bila kushirikisha akili.

Kwani kupiga kelele za ubadhirifu na mauaji ni kwa ajili ya ndoa za jinsia moja?
Ulichanja?
 
Mtu na mkwewe wanaupiga mwingi kwenye hili.

CCM imeamua kujitenga na JPM ili kushinda uchaguzi. Wasichokijua ni kwamba wapigakura wengi huwaambii kitu dhidi ya Jiwe
Kwa nini ccm ijitenge naye?
 
Mtu na mkwewe wanaupiga mwingi kwenye hili.

CCM imeamua kujitenga na JPM ili kushinda uchaguzi. Wasichokijua ni kwamba wapigakura wengi huwaambii kitu dhidi ya Jiwe
Wapiga kura wapi, hao wanaojitenga naye wanajua ukweli wa kura uchaguzi wa 2020. Kwa taarifa yako uchaguzi wa 2020 haukufika wapiga kura 10m, japo yeye alilazimisha kutangaza kwa 12m+. Au unadhani hatukiona ile idadi ndogo ya wapiga kura, na sababu hasa ni yeye kubaka uchaguzi?
 
Tindo💯
 
Hoja yangu ni hii.
Kila kitu alichofanya Magu kilitendwa na WATU, watu hao ni CCM na dola.

Sasa leo unatulazimisha tuamini kuwa kutokuwepo kwa Magu ndo tatizo limeisha? Kwa nini tuamini ubaya wa Magu kana kwamba aliyatekeleza yote hayo peke yake?
 
Wakati wa Nyerere tulipiga Kura ya Ndio na Hapana 🐼

Uchaguzi ni Mbinu!
 
Hoja yangu ni hii.
Kila kitu alichofanya Magu kilitendwa na WATU, watu hao ni CCM na dola.

Sasa leo unatulazimisha tuamini kuwa kutokuwepo kwa Magu ndo tatizo limeisha? Kwa nini tuamini ubaya wa Magu kana kwamba aliyatekeleza yote hayo peke yake?
Ofcourse wanataka waonekane wao hawahusiki na ule unyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…