Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

Huyu ni mwendazake Nduli jpm
 
Wasichokijua ni kwamba wapigakura wengi huwaambii kitu dhidi ya Jiwe
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† aliyoyafanya ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake hayahitaji chawa wala mabango, yanajitangaza yenyewe.
 
Huyo kiongozi alianza kujitupia takataka mwenyewe tangu alivyokuwa hai.

Kawapa urahisi hawa wa sasa kumtumia yeye kama chaka lao tu.

Yani kiongozi aongee maneno mbovumbovu waziwazi na kujichafua mwenyewe mchana kweupe tunamuona halafu mnategemea akifa asitupiwe takataka kweli?

Ujinga gani huo?
 
Na yule raia feki anaye jiona muarabu mwenye wajomba oman mbona ajamchora maana yeye ndiyo akisha vimbiwa anakwenya kunyea kaburini kabisa.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† aliyoyafanya ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake hayahitaji chawa wala mabango, yanajitangaza yenyewe.
Ni kweli kabisa. Yaani mazuri na mabaya yake hayahitaji mwenezi kuyapigia promo...
 
Hoja yangu ni hii.
Kila kitu alichofanya Magu kilitendwa na WATU, watu hao ni CCM na dola.

Sasa leo unatulazimisha tuamini kuwa kutokuwepo kwa Magu ndo tatizo limeisha? Kwa nini tuamini ubaya wa Magu kana kwamba aliyatekeleza yote hayo peke yake?
Maagizo yalikuwa ya kwake, na hata Sasa sio kwamba tunawaamini hao akina Makamba, lakini tatizo sio kubwa kwa kile kiwango Cha Magufuli.
 
Maagizo yalikuwa ya kwake, na hata Sasa sio kwamba tunawaamini hao akina Makamba, lakini tatizo sio kubwa kwa kile kiwango Cha Magufuli.
Bora volkano mfu kuliko iliyolala.

Si unafahamu hilo?
 
Well said
 
Usichanganye mbinu na uhayawani.
CCM ni lazima itumie huo uhayawani Utake Usitake kwa sababu Katiba ya JMT inawalazimisha kukaa Madarakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

October Uchaguzi wa Serikali za mitaa mnakutana na Mahera yule yule 🐼
 
CCM ni lazima itumie huo uhayawani Utake Usitake kwa sababu Katiba ya JMT inawalazimisha kukaa Madarakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯

October Uchaguzi wa Serikali za mitaa mnakutana na Mahera yule yule 🐼
Watakaokutana na Mahera ni hao wenye muda wa kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…