Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1623912683191.png

Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
 
Back
Top Bottom