Kibonzo; wenye dhamana na mapato ya serikali wanahakikisha makusanyo hayafiki Benki

Naam..hizi ndo movement za kuhifadhi kodi zetu.
 
Aisee wasije tuletea tozo ya kupumua hawa maana wakisha kaa kwenye yale majigari yao makubwa wala hawatukumbuki makapuku huku mweeee 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi inawezekana kukawa na kikundi cha watu (walio ndani ya mfumo) wanatengeneza "kontroo namba feki" kwa malipo halali na wala usipate shida ukikaguliwa hapao baadae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…