bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Duuh Jeshi la Polisi linazidi kujipiga misumari.
Duuh Jeshi la Polisi linazidi kujipiga misumari.
Sio kila askari ni Polisi.huyo mleta habari amekurupuka mno.Duuh Jeshi la Polisi linazidi kujipiga misumari.
Kwa hiyo,Sio kila askari ni Polisi.huyo mleta habari amekurupuka mno.
Sijui kwa nini huwa watu wanakimbilia kuleta habari nusu nusu?
Amelipigwa Risasi akiwa anatembea kwa mguu akitokea kaziniHiyo ni ajali katika kazi, inaweza kuwa uzembe wa Askari au wa marehemu, taarifa haijakamilika vizuri
Exactly,Japo inasikitisha, Mbwa watakuwa wamemlilia Mungu wao.
Alikuwa hajawasha? Maana hizo pande za kindi hasa kindi kati Watu wake ni hatari sana tofauti na wakibosho wote.Amelipigwa Risasi akiwa anatembea kwa mguu akitokea kazini
Anaweza kuwa askari mgambo au hata maliasili siyo lazima awe Polisi.Kwa hiyo,
Unataka kunambia anaeruhusiwa kuwa na silaha uraiani ni Mwanajeshi?
Hivi mnaong'ang'ania ni polisi kivipi?Atakuwa amemlenga makusudi,hawa polisi kwa sasa hawaaminiki . Mungu ampe pumziko jema marehemu ila huyo askari atiwe msukosuko.
Wana kazi gani nyingine zaidi ya hiyo,kupiga gwaride,kulinda benki (as per Simbachawene )na kusingizia watu kesi za uongo?Hivi mnaong'ang'ania ni polisi kivipi?
Huko kilimanjaro polisi kazi yao ni kusaka na kuua mbwa mitaani?