KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

Mtauwaje mbwa ovyo
Kwann msiwakamate

Ova
 
Hii sababu haina mantiki

Alilengwa mbwa ambaye akisimama na binadamu hafiki hata kiunoni lakini marehemu kapigwa risasi ya kifuani, kuna kitu kinafichwa huyo askari aeleze vizuri sababu ya kumuua huyo jamaa.
 
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,

Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.

Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku

Nawasilisha
Sasa mtu asiyeheshimu tahadhari iliyotolewa na kikosi hicho baada ya kukata mbege zake Rau Madukani utamsaidiaje?

That's an accident.
 
Aseee nianze kuuliza vizuri maana ni wa ukoo huo!!
 
𝕟𝕒𝕠𝕞𝕓𝕒 𝕟𝕚𝕦𝕝𝕚𝕫𝕖 𝕤𝕨𝕒𝕝𝕚 𝕜𝕚𝕕𝕠𝕘𝕠, 𝕙𝕚𝕧𝕚 𝕦𝕟𝕒𝕨𝕖𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕤𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕞𝕝𝕚𝕠 𝕨𝕒 𝕣𝕚𝕤𝕒𝕤𝕚 𝕨𝕖𝕨𝕖 𝕦𝕜𝕒𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕖𝕒 𝕜𝕦𝕜𝕒𝕥𝕚𝕫𝕒 𝕞𝕒𝕖𝕟𝕖𝕠 𝕙𝕒𝕪𝕠, 𝕒𝕦 𝕙𝕦𝕨𝕒 𝕞𝕟𝕒𝕔𝕙𝕦𝕜𝕦𝕝𝕚𝕒 𝕡𝕠𝕒 𝕓𝕦𝕟𝕕𝕦𝕜𝕚, 𝕋𝕦𝕦𝕝𝕚𝕫𝕖𝕟𝕚 𝕤𝕚𝕤𝕚 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕠𝕚𝕤𝕙𝕚 𝕞𝕒𝕖𝕟𝕖𝕠 𝕪𝕒 𝕞𝕚𝕡𝕒𝕜𝕒𝕟𝕚 𝕟𝕔𝕙𝕚 𝕛𝕚𝕣𝕒𝕟𝕚 𝕫𝕚𝕟𝕒𝕧𝕪𝕠 𝕝𝕚𝕟𝕕𝕚𝕞𝕒 𝕥𝕦 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕔𝕙𝕒𝕟𝕛𝕒 𝕞𝕓𝕦𝕘𝕒 𝕟𝕒 𝕥𝕦𝕤𝕙𝕒 𝕫𝕠𝕖𝕒, 𝔻𝕦𝕦𝕦𝕙, 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕡𝕒𝕤𝕚 𝕡𝕠𝕝𝕖𝕟𝕚 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕨𝕒𝕥𝕦 𝕨𝕒 𝔸 𝐭𝐨𝐰𝐧
 
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,

Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.

Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku

Nawasilisha
Africa never stops amazing yani mbwa ni wakupigwa risasi??

Sijui hii nchi inawasomi wa wapi wameshindwa kuwapa sumu?ata kutumia non lethal bullets kuwajerui tu.
 
Pole sana kwa wafiwa waongeze umakini
Wanaofuga mbwa wawajibike
 
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,

Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.

Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku

Nawasilisha
Sasa huyo 'Aisee baba yangu' aliyeuliwa alikuwa na ufupi gani wa kufananishwa na mbwa mpaka apigwe risasi kifuani?

Isije kuwa polisi alikuwa na hasira na jamaa akaamua kumuua tu.
 
Africa never stops amazing yani mbwa ni wakupigwa risasi??Sijui hii nchi inawasomi wa wapi wameshindwa kuwapa sumu?ata kutumia non lethal bullets kuwajerui tu.
Waafrika hatujitambui akili, hatuna viongozi wa maan na ndiyo maana hatutakuja endelea kamwe.
 
MBWA KAKWEPA RISASI IKAMPATA BINADAMU AKAFA🤔🤔🤔

KIMO CHA MBWA NA BINADAMU SAWA KWELI? NINA MASHAKA NA ULENGAJI WA HUYO ASKARI
Atakuwa alikwepea juu, hivyo akamtarget Kwa juu jmn🤓🤓
 
Sasa mtu asiyeheshimu tahadhari iliyotolewa na kikosi hicho baada ya kukata mbege zake Rau Madukani utamsaidiaje? That's an accident.
Hatred ya chadema kwa Polisi inajidhihirisha katika uzi huu. Mihemko mihemko inapaa
 
Kwa hiyo alilenga impate mbwa sehemu gani mpaka alipokwema ikampata binadamu mtu mzima kifuani? Tuasume marehemu alikuwa kimo cha kati cm 150.
 
Back
Top Bottom