KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

Inawezekana ilipigwa moja tu.na ndo imeondoka na marehemu
 
Yaani ulivyoiweka

Ni kama una hasira zaidi na askari kuliko uchungu wa kufiwa

Rip Munishi
 
Yaani operesheni ya kuua stray dogs inafanyika usiku? hii ni chai yenye kahawa.......anyway kuna fisi aliripotiwa humu kukwepa risasi thelathini, siwezi shangaa huyo mbwa kukwepa risasi moja.
 
Duhhh iv katika ulimwengu huu kuna kiumbe mwenye uwezo wa kukwepa risasi?

Labda mlengaji akosee tu kwenye malengo yake. R.I.P munishi
 
Mbwa wana kimo sio zaidi ya robo mita! Hii risasi hadi ktk kifua cha mtu ilikuwaje tena usiku?

Kama nui kweli basi jamabo lichunguzwe na hatua zichukuliwe!
 
MBWA KAKWEPA RISASI IKAMPATA BINADAMU AKAFAπŸ€”πŸ€”πŸ€”

KIMO CHA MBWA NA BINADAMU SAWA KWELI? NINA MASHAKA NA ULENGAJI WA HUYO ASKARI
Mwenyewe napata wasiwasi iweje ulenge kimo cha mbwa imkose na kumpiga mtu kifua na sio miguu. .............
 
Hiyo ni ajali katika kazi, inaweza kuwa uzembe wa Askari au wa marehemu, taarifa haijakamilika vizuri
Katili na mawazo ya kishetani ndio haya,eti uzembe wa askari au marehemu this is bushit
 
hawa wauwaji ni vichaa pumbafu zao

walishakuja kuua mbwa nyumbani ndani ya nyumba kabisa
 
Nawazia kimo cha kifuani kwa mtu mzima na irefu wa mbwa. Labda angepigwa mguuni. So either jamaa alikuwa na kimo kitupi sana au alikuwa kalewa anatambaa ndio maana risasi imempata kifuani??. Tusubiri polisi watoe maelezo yaliyokamilika labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…