Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabuni kuwa na mwanamke aliyemzidi umri mwenye nyota kali ambayo Dai anapaa nayo piaIla MONDI nae bhana siyo mubunifu!!
Ni ni mzee wa kuvizia vya wenzie (na ma used yake).
Mwaka hana hamu na serikaliApimwe akili huyo kibosile i recomend aende kwa Dr Mwaka
Wenye watoto wa kiume, watoto wenu wakifikia balehe msiwabane, waacheni wapitie hii hali ili wakikua wasiwe mabwege wa kuhonga kina Tunda aka "Fruit" Mil 100 enzi hizi za bro Magu
Hamsini yenyewe ndio unayo hiyo hiyo. Sema tu huna za kuhongaYani kuna mwanaume anampa huyo "Tunda" milioni 100? Kweli hii dunia ni zaidi ya uijuavyo.
Mie hata hamsini yangu hapati huyo labda kaniroga!
yawezekana hamsini yenyewe ndio unayo hiyo hiyo. Uzuri ni subjective.. acha waliomuona anafaa wahonge
tena committed 100%...kweli kunguru hafugiki!Yaan dah!!
Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
mchaga mpk lafudhi ya kichagaHuyo tunda siyo mchaga. .
.wachaga hawana huu upuuzi wa kujiuza. .
Sisi ni wachapa kazi tu .
huyu kumbe ndo mshika dau...?!!Ni kazuri kwa muonekano lakini akili hakana, ila sura hizo kwa Moshi, Singida na Arusha ni za kawaida japo kuna mijinga inajifarijigi kwa kuungua kwao kwa meno japo si wote kutokana na maji ya uko kipindi wakiwa utotoni
Mtoto wa afande Kimaro "Sabasita" asiwe mchaga??Huyo tunda siyo mchaga. .
.wachaga hawana huu upuuzi wa kujiuza. .
Sisi ni wachapa kazi tu .
Niliona wamempost naeAaaahaaaa, Richard Mabala....??? U cant b serious, nakaa nae hapa mtaani kinondoni kachoka kichiz kapanga kijumba analipa 200000 ndo anaweza miliki huo mzigo??? Mwacheni Mabala wa Mabalaa ajilie pensheni yake baada ya kazi ngumu ya kulielimisha taifa hili
NdieHuyo kibosile sio Hance mtanashati kweli?
ndioNi yule mtoto wa Afande sele??
brigedia mafia eti sio kweli?Ha ha ha ha ha sio hance bhana
Hata nshawasahau waandishi, nlisomaga zamani kabla ya uhuruWanasema n Yule mwwndishi wa Hawa the bus driver Na mabala the farmer