Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Amesahau kibosile alipomtoa ni mbali
1479376825313.jpg
 
binti ni mjasiliamwili au anashughulika na nini kiuchumi....???
 
Unajua mtu akishakuwa kahaba, watu wanaanza kuangalia na hata wanaweza kuona visivyoonekana.

Mfano sepenga, ukimtazama tu alivyochoka, ukisikia lisauti lake la kishari, kilevi, linaloumiza masikio na lisilo na mvuto, mikno ilivyotepeta, na miguu kama migagi, mwanamme mwenye sifa za uanaume hawezi hata kudiriki kumuwazia. Labda kwa masharti ya waganga.

Sasa huyu naye, kusemwa tu umalaya, nimemtazama naona mgongo kama kichanja cha kuanikia vyungu.

Sasa hapo tatizo si la hawa malaya.

Ni la wanaume wanaowafuata na ambao bila shaka kama si washirikina, basi watakuwa hawana sifa za kukubalika na wadada wa maana, waliotulia wenye mvuto na maadili. Mianaume inayokwenda na watu kama hawa nayo iko kama hawa hawa.

Ngoma draw.
Kwakweli watu mnamaneno duuh!
 
Hii ndo sababu inayomfanya mondi aendelee kuchukua mavideo qeen wa nje
 
Back
Top Bottom