Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Yani kuna mwanaume anampa huyo "Tunda" milioni 100? Kweli hii dunia ni zaidi ya uijuavyo.

Mie hata hamsini yangu hapati huyo labda kaniroga!
Hamsini yenyewe ndio unayo hiyo hiyo. Sema tu huna za kuhonga
 
Yaan dah!!
Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
tena committed 100%...kweli kunguru hafugiki!
 
Niliona wamempost nae
 
Unampa Tunda 100m, wakati kwa milioni kumi tu unatua hapo Singida unang'oa mtoto mkali unamleta mjini, unatulia unakula mema ya nchi kwa raha zako.
 
Unajua mtu akishakuwa kahaba, watu wanaanza kuangalia na hata wanaweza kuona visivyoonekana.

Mfano sepenga, ukimtazama tu alivyochoka, ukisikia lisauti lake la kishari, kilevi, linaloumiza masikio na lisilo na mvuto, mikno ilivyotepeta, na miguu kama migagi, mwanamme mwenye sifa za uanaume hawezi hata kudiriki kumuwazia. Labda kwa masharti ya waganga.

Sasa huyu naye, kusemwa tu umalaya, nimemtazama naona mgongo kama kichanja cha kuanikia vyungu.

Sasa hapo tatizo si la hawa malaya.

Ni la wanaume wanaowafuata na ambao bila shaka kama si washirikina, basi watakuwa hawana sifa za kukubalika na wadada wa maana, waliotulia wenye mvuto na maadili. Mianaume inayokwenda na watu kama hawa nayo iko kama hawa hawa.

Ngoma draw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…