Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyo kila wakati yupo Jf ansmsifia tunda, anapata wapi mill 100?
mzee hii picha unaipenda sana eeh?Amesahau kibosile alipomtoa ni mbaliView attachment 435485
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kbsa, dumila njia panda au dumila juu?Hiyo milioni 100 ukija huku kwetu dumila unaoa ukoo mzima
[emoji2] [emoji2] [emoji2] dumila juu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kbsa, dumila njia panda au dumila juu?
anajishughurisha na kulitumia shamba la papuch inamuweka mjinbinti ni mjasiliamwili au anashughulika na nini kiuchumi....???
Nimekumbuka hiki kitabu , englishWanasema n Yule mwwndishi wa Hawa the bus driver Na mabala the farmer
Huyo jamaa Richard Mabala kuna kipindi alikua anaishi Sinza. Ni mzungu ila anaongea kisukuma balaa hata sijawahi onaNimekumbuka hiki kitabu , english
Kwakweli watu mnamaneno duuh!Unajua mtu akishakuwa kahaba, watu wanaanza kuangalia na hata wanaweza kuona visivyoonekana.
Mfano sepenga, ukimtazama tu alivyochoka, ukisikia lisauti lake la kishari, kilevi, linaloumiza masikio na lisilo na mvuto, mikno ilivyotepeta, na miguu kama migagi, mwanamme mwenye sifa za uanaume hawezi hata kudiriki kumuwazia. Labda kwa masharti ya waganga.
Sasa huyu naye, kusemwa tu umalaya, nimemtazama naona mgongo kama kichanja cha kuanikia vyungu.
Sasa hapo tatizo si la hawa malaya.
Ni la wanaume wanaowafuata na ambao bila shaka kama si washirikina, basi watakuwa hawana sifa za kukubalika na wadada wa maana, waliotulia wenye mvuto na maadili. Mianaume inayokwenda na watu kama hawa nayo iko kama hawa hawa.
Ngoma draw.