Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Mnakula tu ubuyu [emoji9] [emoji9]
1479312953340.jpg
sponsor amechoka
 
Kwa hiyo baba Tunda,Afande wa Jeshi la Polisi na yeye anamuombea mwanae Msamaha aendelee kugegedwa na Kibosile?

Hivi wazazi wake wana nia nzuri kweli na mtoto wao? Kwa nini wasimpigishe chini huyo jamaa na wamuelezee kuwa sasa amchukue Tunda Jumla jumla yaani wakaanze Familia?

Au wao wanajali Pesa tu?

Kweli Wachagga ndugu zangu Noma sana.
 
Diamond anatamaniwa aingilie yao, hadi wanaume kukosa la kusema kwa kuachwa na wanawake wao hii kali.

Wamuache Baba T wa watu, kwa kuacha kutumia jina lake kutafuta kiki.
 
Back
Top Bottom