Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hakuna ilichoiga kutoka dini yoyote ile,kuzunguka Al Kaaba sio mila ya kikureishi kama ulivyosema ila ni mila ya Ibrahim na kufunga Ramadhan na Ashura pia ni mila za Mitume waliopita na sio za dini nyingineHitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)
Hakuna ilichoiga kutoka dini yoyote ile,kuzunguka Al Kaaba sio mila ya kikureishi kama ulivyosema ila ni mila ya Ibrahim na kufunga Ramadhan na Ashura pia ni mila za Mitume waliopita na sio za dini nyingine
Hakuna ilichoiga kutoka dini yoyote ile,kuzunguka Al Kaaba sio mila ya kikureishi kama ulivyosema ila ni mila ya Ibrahim na kufunga Ramadhan na Ashura pia ni mila za Mitume waliopita na sio za dini nyingine
Ndio maana umeambiwa Uislam ni mila ya kina Ibrahim hivyo maana yake alikuwa anaswaliIbrahim alikuwa anasali Kuelekea Yerusalem?.
Ashura alifunga Musa ila kuhusu Ramadhan Qur’an inatuambia kufunga kulikuwa kabla yetu hivyo na yeye lazima alikuwa anafunga RamadhanNionyeshe wap Ibrahim alifunga Ramadhani na Ashura?.
Ibrahim ndiyo alianza hao wapagani wakamuiga yeye hivyo huwezi kusema Uislamu umeiga wakati umeigwaWapagan wa kikuryesh ambao walikuwa wanazunguka al kaaba mara 7 na kumtupia mawe Shetan . Ibrahim naye alifanya?.
Mitume wa Kiislamu ni wote waliokuwa wanafuata dini ya Allah na sio watatuNionyeshe wap wale mitume watatu wa Kiislam walifunga au kuzunguka kaaba.
Mimi siwajui Manabii wa kiyahudi(labda kama tu unasema uyahudi wa kikabila) na wala siwajui manabii wa KikristoNionyeshe wap wale Manabii wa Kiyahudi na kikristo walienda Makka kuzunguka kaaba na kumpiga mawe shetani.
Zinatakiwa hoja mkuu sio kuandika maneno ili mradi tuView attachment 3537992
Ila mtume..eti alijisaidia huku kaelekea Yerusalem...visa tu.
Castle_Lite
MK254
hamis77
Hadith inafanyiwa hoja tena?Zinatakiwa hoja mkuu sio kuandika maneno ili mradi tu
We jamaa hata sikuelewi yaani umekuja kureply comment yangu na hiyo hadith🤣🤣🤣Hadith inafangiwa hoja tena?
Ndio maana umeambiwa Uislam ni mila ya kina Ibrahim hivyo maana yake alikuwa anaswali
Ashura alifunga Musa ila kuhusu Ramadhan Qur’an inatuambia kufunga kulikuwa kabla yetu hivyo na yeye lazima alikuwa anafunga Ramadhan
Ibrahim ndiyo alianza hao wapagani wakamuiga yeye hivyo huwezi kusema Uislamu umeiga wakati umeigwa
Mitume wa Kiislamu ni wote waliokuwa wanafuata dini ya Allah na sio watatu
Mimi siwajui Manabii wa kiyahudi(labda kama tu unasema uyahudi wa kikabila) na wala siwajui manabii wa Kikristo
Nimekujibu vizuri tu nafikiri hujasoma tu na ndio maana hata umerudia kuniuliza kuhusu manabii wa Kikristo maana ungesoma majibu yangu usingeuliza tena au ungezalisha swali lingineUmeelewa hoja yangu?.
Bila shaka hapana.
Nafafanua.
Nimesema Uislam umeiga Ukristo /Uyahudi na mila za Kukureshi.
Ukasema hapana.
Ila umeiga za Ibrahim.
Nikauuliza
👇👇👇
Ibrahim alikuwa anasali Kuelekea Yerusalem?.
Nionyeshe wap Ibrahim alifunga Ramadhani na Ashura?.
Hizi ni mila za Kikureshi.👇👇👇
Wapagan wa kikuryesh ambao walikuwa wanazunguka al kaaba mara 7 na kumtupia mawe Shetan . Ibrahim naye alifanya?.
Nionyeshe wap wale mitume watatu wa Kiislam walifunga au kuzunguka kaaba.
Nionyeshe wap wale Manabii wa Kiyahudi na kikristo walienda Makka kuzunguka kaaba na kumpiga mawe shetani.
Wapagani walikuwa wanafanya haya na Mohamed akayaiga ☝️☝️☝️.
Kaka kwani Kaaba kabla ya Muhammad hajavunja masanamu ya Miungu al-Lāt, al-‘Uzzā, and Manāt, These idols were destroyed by Prophet Muhammad upon his conquest of Mecca in 630 CE, na haya masanamu yaliabudiwa mpaka na babaake Muhammad mzee Abdulla MutalibHakuna ilichoiga kutoka dini yoyote ile,kuzunguka Al Kaaba sio mila ya kikureishi kama ulivyosema ila ni mila ya Ibrahim na kufunga Ramadhan na Ashura pia ni mila za Mitume waliopita na sio za dini nyingine
Wapi nimesema Ibrahim alikuwa alikuwa anaabudu masanamuKaka kwani Kaaba kabla ya Muhammad hajavunja masanamu ya Miungu al-Lāt, al-‘Uzzā, and Manāt, These idols were destroyed by Prophet Muhammad upon his conquest of Mecca in 630 CE, na haya masanamu yaliabudiwa mpaka na babaake Muhammad mzee Abdulla Mutalib
Unasemaje Abraham ambaye sio M quraish alikua ana ya worship?
Be serious!
Kaka kwani Kaaba kabla ya Muhammad hajavunja masanamu ya Miungu al-Lāt, al-‘Uzzā, and Manāt, These idols were destroyed by Prophet Muhammad upon his conquest of Mecca in 630 CE, na haya masanamu yaliabudiwa mpaka na babaake Muhammad mzee Abdulla Mutalib
Unasemaje Abraham ambaye sio M quraish alikua ana ya worship?
Be serious!
Si mnasema Ibrahimu alikua anazunguka Kaaba na ndie mjenzi?Wapi nimesema Ibrahim alikuwa alikuwa anaabudu masanamu
Duuu hawa jamaa kwani hua hawasomi historical background ya Vitu vyao maana utaona ni ajabu wanavyokuambia Kaaba ilijengwa na Ibrahimu na mwanaye Ismail Hahaha!Na Hawa ndio walikuwa wanafunga Ashura, wanazuizunguka miungu 360 mara 7 (tawaf) na wanaenda Mira kutupa mawe.
Haya yote Mohamed alibeba
Kama Uislam umejengeka kwa Iman ya Ibrahim.
Kutumia Quran.
- Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
- Wap Ibrahim alifunga.
- Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
- wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
- Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
Miaka 20 Waislam walikuwa wanaswali kuelekea
Ushahidi wa hili uko wapi ?Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.
Ukristo kwao ni Roma.Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.
Tena walikua wanazunguka wakiwa uchi wa mnyama wakimpiga mawe shetani mboga nje nje na Muhammad ndio aliyekomesha huo utaratibu cha ajabu sasaNa Hawa ndio walikuwa wanafunga Ashura, wanazuizunguka miungu 360 mara 7 (tawaf) na wanaenda Mira kutupa mawe.
Haya yote Mohamed alibeba