Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Kisai
Umenikumbusha ishu nyingne kuhusu Yerusalem.
Mohamed alilala akiwa Makka
(Hapa kabla hajaenda Madina). Alaf asubuh alivyoamka akawaambia maswahaba kuwa
Alipaa na faras mwenye mabawa hadi Yerusalem na akaswali pamoja na kina Ibrahim. Nabii Issa. Suleiman. Daud na wengne . Na pia akapaishwa tena had mbingu ya 7 kujadiliana na allah apunguze swala kutoka 50 hadi 5.

Na kila mbingu alikutana na mitume.

Hakuna mtu aliona huyo farasi.
Hakuna mtu alimuona Mohamed huko Yerusalem.

Hebu Nisahihishe kama nimekosea.
Maana Nina hoja ila nataka ujibu ww kwanza.
 
Wewe huna kima Cha kujadiliana na Mimi.
Wewe kama nani acha kujipa u special wa kishamba bob,
Eti wewe Huna kima huyo kima ni kima gani?
Na kwanini awe kima?
Kima who?
Kima which?
Jibu hoja acha kuruka ruka kama maharage yanayotokota na defence mechanism za kishamba!
😂😂😂
 
Huu mtandao umekua na wakristo mbumbumbu wao kutwa kucha ni kuja na hoja muflisi, matusi, kebehi kuhusu uislam.
Mkitaka mijadala na waislam kaeni kwanza chini msome tena msome hasa sio kishabiki kama anavyofanya mtoa mada.
 
Hebu kuwa serious. Alaf ukiitwa goi goi unakasirika.

Nionyeshe haya hapo uliponijibu haya
  • Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
  • Wap Ibrahim alifunga.
  • Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
  • wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
  • Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
We jamaa sijakuonyesha aya ya Ibrahim na hijja au hausomi comment nini!!!
 
Huu mtandao umekua na wakristo mbumbumbu wao kutwa kucha ni kuja na hoja muflisi, matusi, kebehi kuhusu uislam.
Mkitaka mijadala na waislam kaeni kwanza chini msome tena msome hasa sio kishabiki kama anavyofanya mtoa mada.
Jibu hoja kama hakuna hoja kuna kioja jibu hicho kioja acha kulia lia kama Mbwa aliyekosa chakula unabweka nini sasa
Shabhashhhh!
😅😅
 
Wewe kama nani acha kujipa u special wa kishamba bob,
Eti wewe Huna kima huyo kima ni kima gani?
Na kwanini awe kima?
Kima who?
Kima which?
Jibu hoja acha kuruka ruka kama maharage yanayotokota na defence mechanism za kishamba!
😂😂😂
Nimemaliza kazi yangu.
 
Soma aya ya 27 usikurupuke

Haya nasoma.
Ni hii kama ulivyoileta ww.

Surah Al-Hajj 22:27
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٍ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ
“Na watangazie watu Hajj, watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama waliokonda, wakija kutoka kila njia ya mbali."

Hii aya Ndio imejibu zile hoja zangu 5?.
 
Jibu hoja kama hakuna hoja kuna kioja jibu hicho kioja acha kulia lia kama Mbwa aliyekosa chakula unabweka nini sasa
Shabhashhhh!
😅😅

Tuna haki ya kujibiwa. 😂😂😂😂

Huu mtandao umekua na wakristo mbumbumbu wao kutwa kucha ni kuja na hoja muflisi, matusi, kebehi kuhusu uislam.
Mkitaka mijadala na waislam kaeni kwanza chini msome tena msome hasa sio kishabiki kama anavyofanya mtoa mada.

Hakuna kebeh wala matusi . Tunahoji tu.
Nitakuwa nakutag ili uone kama kuna hoja itakuja na hayo madai yako..
 
Haya nasoma.
Ni hii kama ulivyoileta ww.

Surah Al-Hajj 22:27
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٍ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ
“Na watangazie watu Hajj, watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama waliokonda, wakija kutoka kila njia ya mbali."

Hii aya Ndio imejibu zile hoja zangu 5?.
Ndiyo huoni neno Hajj hapo?
 
Ndiyo huoni neno Hajj hapo?

Nimeona.
Ila hoja zangu sio Hija.
Ni hizi
  • Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
  • Wap Ibrahim alifunga.
  • Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
  • wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
  • Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
 
Nimeona.
Ila hoja zangu sio Hija.
Ni hizi
  • Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
  • Wap Ibrahim alifunga.
  • Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
  • wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
  • Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
Sasa hoja yako umesema sio hijja sasa mbona unataja habari za kuzunguka kaaba,kumpiga jiwe shetani na kubusu jiwe au wewe unafikiri hijja ni nini

Kuhusu kufunga nimekupa aya nyingine ukadai waliotangulia ni wakristo na wayahudi nikakwambia lete ushahidi mpaka sasa hivi ujaleta
 
Ngoja nikufafanulie zaid.

Mm sijui hija. Ila nielezee Hija inatakiwa ukienda ufanye nini na nini.
Tumia quran na nionyeshe.
  • Kuzunguka mara 7
  • kubusu jiwe jeusi.
  • kupiga jiwe shetan
  • mitume na manabii walioenda Hiji
Kama mising ambayo Ibrahim aliiweka.

Unataka kuniambia ibrahim alijenga Nyumba ya Mungu na akaweka jiwe awe ana libusu?.

Kama aliweka ina maana alikuwa ana miungu mingne.
Kama hajaweka kwanini jiwe liko hadi leo na mnalibusu?.

Kuhusu kufunga nimekupa aya nyingine ukadai waliotangulia ni wakristo na wayahudi nikakwambia lete ushahidi mpaka sasa hivi ujaleta
Hili nimejibu soma post za juu
 
Mm sijui hija. Ila nielezee Hija inatakiwa ukienda ufanye nini na nini.
Tumia quran na nionyeshe.
  • Kuzunguka mara 7
  • kubusu jiwe jeusi.
  • kupiga jiwe shetan
  • mitume na manabii walioenda Hiji
Kama mising ambayo Ibrahim aliiweka.

Unataka kuniambia ibrahim alijenga Nyumba ya Mungu na akaweka jiwe awe ana libusu?.

Kama aliweka ina maana alikuwa ana miungu mingne.
Kama hajaweka kwanini jiwe liko hadi leo na mnalibusu?.
Vizuri kwa kukiri hujui hijja ni nini sasa nikuambie tu hizo hoja zako kama tatu hapo zimemezwa na hiyo aya inayoonyesha Ibrahim amehijj
Kama aliweka ina maana alikuwa ana miungu mingne.
Nani amekwambia jiwe ni mungu?
Hili nimejibu soma post za juu
Mbona sijaona umetumia maandiko gani kuthibitisha kuwa waliokuwa kabla yetu ni wayahudi na wakristo?
 
Vizuri kwa kukiri hujui hijja ni nini sasa nikuambie tu hizo hoja zako kama tatu hapo zimemezwa na hiyo aya inayoonyesha Ibrahim amehijj

Nani amekwambia jiwe ni mungu?

Mbona sijaona umetumia maandiko gani kuthibitisha kuwa waliokuwa kabla yetu ni wayahudi na wakristo?
Kwahiyo Quran inadanganya inavyosema kuna waliopewa kitabu kabla yenu yaani Mayahudi na Manaswara?
 
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.

Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.

Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni Hira, Makka.
Kwa kalenda ya Hijria
Ilikuwa miaka 13 kabla ya Hijra
(Ina maana ni 610 BK).

Mohamed akiondoka Makka kwenda Madina mwaka wa mwaka wa 1 Hijria .ukizingatia kalenda ya Kiislamu.

Ilikuwa ni hatua ya kisiasa, na aliondoka Makka kutokana na mateso na dhuluma za Quraysh.

Hivyo Mtume alienda Madina na kufungua jamii ya Kiislamu kule. (Ummah).

Baadae Mtume Muhammad alirudi Makka mwaka 630 BK , tukio linalojulikana kama Fathu Makka (Ukombozi wa Makka).
Huku akiongoza jeshi la Waislamu takriban askari 10,000.

Sanamu zilizokuwa ndani ya Kaaba zilivunjwa, na Makka rasmi ikawa kitovu cha Uislamu.

Na baada tu ya kuichukua Makka.
Kaboooom 💣💣💣 allah akashusha aya.

Qur’an 2:144
“Sifa kwa Allah aliyekufanya kuwa na mwelekeo wa moyo wako kwa ile nyumba (Kaaba) ulipo, na tulikufanya mwelekeo wa sala utakao pendelea. Nayo ndio hakika, na ni sawa kwa yeyote aliye miongoni mwa Waislamu…”

Hivyo mabadiliko yakafanya Kibla iwe Al kaaba Makka kutoka ilipokuwa awali (Bayt al-Maqdis- Jerusalemu).

Mtume alikufa Madina, katika nyumba yake, akiwa na umri wa miaka 63.
Kaburi lake lipo Masjid al-Nabawi, Madina hadi leo.

Pia Alikufa kabla wahyi wa Quran haujawekwa kama Kitabu Kimoja.

Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.

Summary :-
  • jamaa kapokea wahyi 610 BK. Akiwa Makka.
  • akahama Makka 13 miaka mbele (yaan 622 Bk) kwaajili ya mateso ya wakureshi . Akiwa na maswahaba wake baadhi
  • akarud kupigana Vita na waislam na kuichukua Makka na al kaaba mwaka 630 BK. Akiwa na wanajeshi elfu 10.
  • akafa Madina 632BK.

HOJA:-
Kwa kipind chote kuanzia mwaka 610 BK hadi 630 BK waislam (hapa ni kabla ya kuichukua Makka) walikuwa wanaswali na kuabudu kuelekea Yerusalemu.
Tena bila Quran.

Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.

Kumbuka pia miaka hii walikuwa wanafunga na kusali.

Hitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)

Jagina Covax Al-mukheef
Kisai
Nisahihisheni kama napotosha.

Kwa taarifa
CC
Ndugu zangu katika imani
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Fortyseven
Hamatan
Acha kudanganya wagalatia wenzako Israel sio nchi ya wakristo

As of late 2023, Israel's population of roughly 9.7 million is approximately
73-74% Jewish,
18% Muslim,
1.9% Christian, and 1.6% Druze.

Hakuna Mayahudi mkiristo hiyo 1.9% hapo ni wahamiaji kama wewe ukitoka kwenu Chunya ukienda Israel ndio unatengeneza hiyo 1.9%

Kuhusu kibra ya kwanza Kwa waislam kuwa Masijid Ali Aqsa hilo halina shida maana

Maana masijid Ali Aqsa ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isaka

Na masijid Li haraam ( Maka) ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Ishmael

Nyinyi wakristo kwenu Roma
 
Maana masijid Ali Aqsa ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isaka

Na masijid Li haraam ( Maka) ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Ishmael

Nani anapotosha hapa kati yangu mm na ww?.

Wazolee
Bila shaka unaongelea Yerusalem.
Kabla ya kujengwa masjid Ali Aqsa
Lile eneo lilikuwa linatumika na wayahudi na baadae wakristo.
Hakukuwa na msikiti hata mmoja.

Ni eneo ambalo hekalu la wayahudi la kwanza na la pili lilijengwa. (Hekalu la Suleiman). Na yapata miaka 1000 kabla mtume hajazaliwa.

Miaka 21 mtume na maswahaba wake walikuwa wanabongoa kuelekea Yerusalem sehem ambayo hakukuwa na msikiti.

Mtume hakuwah kufika Yerusalem.
Hakuna ushahidi wa yeye kufika kimwili.
Hakuna mtu alimuona anapaa huyo faras wake.
Na Kwanini aende usiku?.
Ni hadithi tu.

Na Mohamed wakat anakufa hakukuwa na msikiti hata mmoja Yerusalemu.

Baadae. khalifa wa pili. Aitwae Khalifa Umar. Ndio alipigana vita na akatanua dola ya kiislam na kufika na akajenga msikiti wa kwanza Yerusalem.
Ndio huu unaitwa masjid Ali Aqsa.

Unataka ushahid wa Google?.
Hebu google ukiukosa nauleta mm.
 
Katika maswala ya Mungu nyinyi wagalatia ni weupe sana ila tu huwa mnalazimisha

Najua kwa sababu gani unapinga niliposema Nabii Ibrahim na mwanawe Isaka ndio waliojenga msikiti wa al Aqsa
Kilichokuja akilini mwako kuwa mbona hakukua na jengo lilopauliwa Kwa bati au vigae lililojengwa na Nabii Ibrahim

Ngoja nikufundishe

Msikiti ni eneo lolote lililotengwa Kwa ajili ya kumuabudu Mungu mmoja tu haijalishi hilo eneo Kingo zake yamewekwa magogo ya miti au yamepangwa mawe au zimejengwa Kwa matofali

Hiki ndicho alicho kifanya Ibrahim Jerusalem akiwa na mwanawe Isaka na ndicho alicho kifanya maka akiwa na mwanawe Ishmael

Nabii Suleiman alipotaka kujenga Nyumba ya Ibada akienda pale Kwa sababu anajua kuwa hili ndio eneo lililotengwa Kwa ajili ya kujenga Nyumba ya Ibada
Kwahiyo kihistoria Suleiman yeye ni sawa na kusema amefanya ukarabati maana misingi ulishawekwa
 
Nyie hamuwajui hao watu,
wao msingi wao ni kuongea uwongo tu:

Kimantiki Kuna Ibrahimu wa kwenye Agano la Kale ambaye baba yake ni Tera

Pia Kuna Ibrahimu wa Qurani ambaye baba yake ni Al-Azari yaani Azariasi

Ibrahimu wa Agano la Kale Mila yake aliyo amriwa na Mungu Yehova, ni Kutahiri
Mwanzo 17:10
Mwanzo (Gen) 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

Muhamadi na Wafuasi wake hawajawahi kulishika Hilo Agano:

Muhamadi alishika Mila za Ibrahimu ambaye baba yake ni Azariasi na sio Tera;

Ibrahimu mtoto wa Azariasi ndiye aliyelijenga Al-Kaaba na kufanya Ibada kama wanavyofanya Waislamu wa Leo:
-Ndiye aliyeanza kulizunguka Al-Kaaba mala saba akivaa kitambaa cheupe bila chupi ya ndani
-Ndiye aliyeanzisha Ibada ya kumpiga mawe Shetani
-Ndiye Kwa mala ya kwanza alianza kumwabudu Mungu Wake aliyeitwa Allah
-Ndiye aliyeamrisha waumini Waislamu wa muda huo kusujudu kuelekea Maka

Miaka ya baadae baada ya Ibrahimu mtoto wa Azariasi kufariki Wapagani wa Kikureshi wakaupora huo msikiti wa Al-Kaaba na kuendelea kuongeza miungu mingine na kuiabudu akiwepo mkubwa wao Allah
Walichoongeza wao ni miungu mingine tu pamoja na wale kina Uzza, Latta na Manatta na kuwapa cheo kama Mabinti wa Allah:
Muhamadi alipozaliwa aliikuta hiyo miungu na aliabudu huko pamoja na Waakureshi wenzake:
Akiwa mtoto mchanga Babu ya Muhamadi Abbu Talibu yaani Mtumwa wa Allah alimchukua Muhamadi na kwenda kumfanyia waktfu kwenye hiyo Kaaba ya Wapagani Wakureshi:

Muhamadi aliendelea kiabudu hapo Al-Kaaba na Makureshi Hadi ile sikua aliyotoka pangoni na kukutana na kiumbe (ambacho mwenyewe alisema ni mashetani) na kumkaba na kumwambia soma:
Aliporudi nyumbani ndipo mkewe na mjomba wake Walaga Padre mstaafu wa Kanisa la Roman Cathoric walipo mwambia
Yule aliyekutokea kule pangoni ni Malaika Gabrieli na kuanzia Leo wewe ni Mtume wa yule mungu tunayemwabudu yaani Allah pekee na hana mshirika

Kusikia hivyo Muhamadi akaamua kwanda kule Al-Kaaba na kuvunja vunja Sanamu zote za miungu wengine na Kuibakiza Sanamu ya Mungu Allah pekee

Na ndipo alipo toa vile viapo vitatu, vya mwisho aliviunganisha kama nadhiri yake kwa mungu mmoja Allah

1. Allah Akbar
Yaani Mungu Mkubwa, ni mmoja tu na sio wale
wengine akina Uzza
2. La illah ila Allah
Hakuna mungu ila ni Allah pekee
3. Muhamadi Rasulillah
Na Muhamadi ndiye Mtume wake wa pekee:

Tangia hapo ndio Ibada za Kiislamu zile zilizo asisiwa na Ibrahimu mtoto wa Azariasi zikaendelea kama kawaida:
mkisoma hapa kwa umakini hamta bishana nao kamwe:

Waislamu hawajawahi kabisa kuwa na Imani sawa na Mila ya Ibrahimu mtoto wa Tera anayepatikana kwenye Biblia

Mila ya Ibrahimu mtoto wa Tera ni hii hapa:

1 Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.
Mwanzo 17:1

2 Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.
Mwanzo 17:2

3 Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema,
Mwanzo 17:3

4 Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi,
Mwanzo 17:4

5 wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
Mwanzo 17:5

6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako.
Mwanzo 17:6

7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
Mwanzo 17:7

8 Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Mwanzo 17:8

9 Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.
Mwanzo 17:9

10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
Mwanzo 17:10

11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
Mwanzo 17:11

12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
Mwanzo 17:12

13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
Mwanzo 17:13

{ Muhamadi hakuwahi kama yeye, wala kuwaamrisha wafuasi wake KUTAHIRIWA NYAMA YA GOVI}

Muhamadi alifata Imani ya Dini ile ile ya Ibrahimu mtoto wa Azariasi, dini ya Uislamu:
Na sio ile imani ya Ibrahimu mtoto wa Tera kama Torati inavyo sema:
 
Back
Top Bottom