Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

unahisi sijui si ndio?.
Haya ww elewa unavyotaka. Ila haiondoi uhalisia kuwa Mnasujudu jiwe ili kuondoa dhambi.

Na lile jiwe limekuwa jeusi kwasababu ya dhambi za binadamu.

Anway. Ni juha pekee ndio anaamini hayo.
Mbona mimi sijawahi kuona wala kusikia watu wanalisujudia hilo jiwe

Kimbia tu ila ukweli ni kwamba hujui maana ya kusujudu🤣🤣🤣
 
Mfano wale wanaobisha kuwa Ibrahimu hakujenga Al-Kaaba ya pale Maka na hakuliweka Jiwe Jeusi mnalolibusu na kwamba hakuwa ni Mwislamu
Hao ni kati hao Waongo
Sijakuelewa
Ila mimi acha nikazanie point yangu kuwa wewe ni muongo maana umesema Waraqah alikuwa Padre na Mtume Muhammad hakuhimiza kutahiri
 
Sawa tufanye alikuta waarabu tayari je hakuanzisha kizazi chake hapo?n

tunajua mnajinasibu sana na Dini ya wayahudi. Kias cha kuchukua utabiri wa kwenye dini yao na kusema ili tabiri dini yenu.

Kitu ambacho sicho.
 
Mbona mimi sijawahi kuona wala kusikia watu wanalisujudia hilo jiwe

Kimbia tu ila ukweli ni kwamba hujui maana ya kusujudu🤣🤣🤣
Huwez kukiri hili. Ila ndio uhalisia.

Ni wap kwenye Quran Allah alimuambia Mohamed alibusu lile jiwe?.
 
tunajua mnajinasibu sana na Dini ya wayahudi. Kias cha kuchukua utabiri wa kwenye dini yao na kusema ili tabiri dini yenu.

Kitu ambacho sicho.
Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?

Ikumbukwe wakristo wanatumia hadi kitabu cha wayahudi
 
Wewe umekuja huku umeshindwa kunipa jibu la swali langu ..itikadi za madhehebu zimetoka kwa Allah au Sunnah gani kutoka kwa mitume wa kale..?
Narudia kukujibu hazijatoka kwa yeyote kati ya hao

Haya endelea kutangaza sijakujibu🤣
Nimekuuliza swali kuhusu Biblia umekimbia
 
Na wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
Aliyeanzisha Dini ya Kiislamu na kujenga hiyo Al-Kaaba, yaani huyo wanayemzungumzia ni
Ni Ibrahim Al-Azar wa kwenye Qurani:
Yaani ni mtoto wa Al-Azar hivyo usiwabishie Mkuu:

6:74 - Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu?
Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.

Masanamu yenyewe ndio yale ya Akina
miungu Uzza na wenzie kabla ya Muhamadi kuja kuyavunja na kuliacha Moja:
 
Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?

Ikumbukwe wakristo wanatumia hadi kitabu cha wayahudi

Ngoja nimalizie sentesi.
Waislam wanajinasibu na dini ya wayahudi na wakristo.
Hadi vitabu vyao.

Wanamuamini Mtume wa Kikristo na kumpa sifa kuliko mtume mwingne yoyote kwenye Quran.

Wanamuamini mtume wa Kikristo kwa atarud kwa mara ya pili..

Mtume wa Kiislam amekufa na habar yake imeishia hapo.
 
Na wanalazimisha kuwa Ishmael ndio Baba wa Waislam. Wakat Ishmael alihamia tu na akakuta waarabu. Na yeye Ishmael na Ibrahim hawakuanzisha dini wala kujenga alkaaba.
Aliyeanzisha Dini ya Kiislamu na kujenga hiyo Al-Kaaba, yaani huyo wanayemzungumzia ni
Ni Ibrahim Al-Azar wa kwenye Qurani:
Yaani ni mtoto wa Al-Azar hivyo usiwabishie Mkuu:

6:74 - Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu?
Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.
Masanamu ndio yale ya Akina
miungu Uzza na wenzie kabla ya Muhamadi kuyavunja na kuliacha Moja:
 
Ngoja nimalizie sentesi.
Waislam wanajinasibu na dini ya wayahudi na wakristo.
Hadi vitabu vyao.
Vitabu vipi umewahi kusikia waislamu tunajinasibu na biblia mara mathayo sijui?
Wanamuamini Mtume wa Kikristo na kumpa sifa kuliko mtume mwingne yoyote kwenye Quran.
Umewahi kusikia waislamu wakiwaita mitume wa wakristo kuwa ni Mitume?
Wanamuamini mtume wa Kikristo kwa atarud kwa mara ya pili..
Mtume yupi huyo Mathayo au Petro?
Mtume wa Kiislam amekufa na habar yake imeishia hapo.
Eeh si mwanadamu
 
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.

Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.

Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni Hira, Makka.
Kwa kalenda ya Hijria
Ilikuwa miaka 13 kabla ya Hijra
(Ina maana ni 610 BK).

Mohamed akiondoka Makka kwenda Madina mwaka wa mwaka wa 1 Hijria .ukizingatia kalenda ya Kiislamu.

Ilikuwa ni hatua ya kisiasa, na aliondoka Makka kutokana na mateso na dhuluma za Quraysh.

Hivyo Mtume alienda Madina na kufungua jamii ya Kiislamu kule. (Ummah).

Baadae Mtume Muhammad alirudi Makka mwaka 630 BK , tukio linalojulikana kama Fathu Makka (Ukombozi wa Makka).
Huku akiongoza jeshi la Waislamu takriban askari 10,000.

Sanamu zilizokuwa ndani ya Kaaba zilivunjwa, na Makka rasmi ikawa kitovu cha Uislamu.

Na baada tu ya kuichukua Makka.
Kaboooom 💣💣💣 allah akashusha aya.

Qur’an 2:144
“Sifa kwa Allah aliyekufanya kuwa na mwelekeo wa moyo wako kwa ile nyumba (Kaaba) ulipo, na tulikufanya mwelekeo wa sala utakao pendelea. Nayo ndio hakika, na ni sawa kwa yeyote aliye miongoni mwa Waislamu…”

Hivyo mabadiliko yakafanya Kibla iwe Al kaaba Makka kutoka ilipokuwa awali (Bayt al-Maqdis- Jerusalemu).

Mtume alikufa Madina, katika nyumba yake, akiwa na umri wa miaka 63.
Kaburi lake lipo Masjid al-Nabawi, Madina hadi leo.

Pia Alikufa kabla wahyi wa Quran haujawekwa kama Kitabu Kimoja.

Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.

Summary :-
  • jamaa kapokea wahyi 610 BK. Akiwa Makka.
  • akahama Makka 13 miaka mbele (yaan 622 Bk) kwaajili ya mateso ya wakureshi . Akiwa na maswahaba wake baadhi
  • akarud kupigana Vita na waislam na kuichukua Makka na al kaaba mwaka 630 BK. Akiwa na wanajeshi elfu 10.
  • akafa Madina 632BK.

HOJA:-
Kwa kipind chote kuanzia mwaka 610 BK hadi 630 BK waislam (hapa ni kabla ya kuichukua Makka) walikuwa wanaswali na kuabudu kuelekea Yerusalemu.
Tena bila Quran.

Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.

Kumbuka pia miaka hii walikuwa wanafunga na kusali.

Hitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)


Jagina Covax Al-mukheef
Kisai
Nisahihisheni kama napotosha.

Kwa taarifa
CC
Ndugu zangu katika imani
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Fortyseven
Hamatan
'Kibra" maana yake nini ? Bora mitaala ya elimu iboreshwe jamani.
 
nitashindwaje wakat ndio ukweli.
Mnalisujudu jiwe.

Kwahiyo Quran haijawaambia mlibusu jiwe?.
kwann mnalibusu?.
Unaongelea kusujudu au kulibusu?

Kama kusujudu hatulisujudii rudi ukasome nini maana ya kusujudu au niombe picha za sijda

Kuhusu kulibusu Mtume alikuwa analibusu na Qur’an inasema tumuige yeye kwenye vitu avifanyavyo je kulibusu sio sehemu ya vitu alivyofanya?
 
Kuhusu Ibrahimu kujenga Al-Kaaba na Kuweka Jiwe Jeusi mnalolisujudia pale Maka, hapa Umekubali sio

Pia unakubali Muhamadi hakutahiriwa sio
Kusujudia jiwe nimekataa

Twende kwenye mada ya kutahiri nipe andiko linaloonyesha kwenye uislam hakuna kutahiri halafu mimi nilete andiko kuwa lipo
 
Naona unarukaruka tu hivi kati ya wakristo na waislamu kina nani wanajinasibu na dini ya wayahudi?

Ikumbukwe wakristo wanatumia hadi kitabu cha wayahudi
Kuna siku nilikutajia Mitume 24 waliotajwa kwenye Quran pamoja na visa vyao.
Kati ya hao Mitume. Wanne tu ndio waarabu .

Wengne 20 ni Wayahudi.
umeona ni kwa namna gani Uislam unavyojinasibisha na Wayahudi na Wakristo.
 
Back
Top Bottom