Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Unaongelea kusujudu au kulibusu?

Kama kusujudu hatulisujudii rudi ukasome nini maana ya kusujudu au niombe picha za sijda

Kuhusu kulibusu Mtume alikuwa analibusu na Qur’an inasema tumuige yeye kwenye vitu avifanyavyo je kulibusu sio sehemu ya vitu alivyofanya?

Ni sawa. Paken pia na Wanja kama alivyokuwa anafana yeye.

Kwahiyo ukiacha kuiga anachofanya.
hakuna sehem Allah aliwaambia mbusu jiwe .

Kubusu Jiwe lilikuwa ni Tendo la wapagani waliokuwa wanaabudu masanamu ya pale alkaaba.
 
Vitabu vipi umewahi kusikia waislamu tunajinasibu na biblia mara mathayo sijui?

Umewahi kusikia waislamu wakiwaita mitume wa wakristo kuwa ni Mitume?

Mtume yupi huyo Mathayo au Petro?

Eeh si mwanadamu

Mnajinasibu na Injili. Na Quran inasema Injili ilishushwa.

kuna mitume 24 kwenye Quran. Na wametajwa kabisa. Na 20 ni wa Wayahudi.
Kwan hili hujui?.
 
Kusujudia jiwe nimekataa

Twende kwenye mada ya kutahiri nipe andiko linaloonyesha kwenye uislam hakuna kutahiri halafu mimi nilete andiko kuwa lipo
Wewe ndio unipe Andiko la kwenye Qurani linalosema mtahiri
Najua Hilo Andiko halipo kwakuwa sio Imani ya Ibrahimu Al-Azar
Hakuwahi kuagizwa kufanya hivyo popote pale

Ama kama aliagizwa weka Hilo Andiko hapa ili tuone kweli mnafuata Imani yake:
Hakuna Wahayi wowote ulioteremshwa kwa Mtume Muhamadi kuwaagiza Mtahiri

Ndio maana Muhamadi hakutahiriwa kabisa kabisa
 
Kuna siku nilikutajia Mitume 24 waliotajwa kwenye Quran pamoja na visa vyao.
Kati ya hao Mitume. Wanne tu ndio waarabu .

Wengne 20 ni Wayahudi.
umeona ni kwa namna gani Uislam unavyojinasibisha na Wayahudi na Wakristo.
Rudi darasani ukajifunze tofauti ya uyahudi race na uyahudi dini utakuja kunishukuru

Pia hata hao wayahudi wa taifa hawafiki 20🤣
 
Usichanganye Madesa.

Wametajwa as Wayahudi.
Iwe kidini au Kirace. Haiondoi dhana kwamba wametoka uyahudini na ni wayahudi na wametajwa kwa wing kwenye Quran.
 
Ni sawa. Paken pia na Wanja kama alivyokuwa anafana yeye.

Kwahiyo ukiacha kuiga anachofanya.
hakuna sehem Allah aliwaambia mbusu jiwe .

Kubusu Jiwe lilikuwa ni Tendo la wapagani waliokuwa wanaabudu masanamu ya pale alkaaba.
Kwani hujuelewa mwenzako alivyokuambia kuwa hizi ibada zilianza na Ibrahim mtoto wa Azar kisha wapagani ndio wakaiga🤣
 
Mnajinasibu na Injili. Na Quran inasema Injili ilishushwa.

kuna mitume 24 kwenye Quran. Na wametajwa kabisa. Na 20 ni wa Wayahudi.
Kwan hili hujui?.
Injil sio kitabu cha wakristo

Kuhusu habari za Mitume elimu nimeshakupa
 
Kwani hujuelewa mwenzako alivyokuambia kuwa hizi ibada zilianza na Ibrahim mtoto wa Azar kisha wapagani ndio wakaiga🤣
haiondoi hoja yangu kuwa hakuna agizo la kubusu jiwe kwenye Quran.

Nimemuelewa vizur. Kwahiyo msijinasibu na Ibrahim wa Tera, wala lile andiko la kiyahudi linalosema watoto wa Ibrahim watakuwa taifa kubwa. Coz waarabu haliwahusu.

na ile tamaduni ya kuchinja na kutahiri. Haiwahusu.
 
Wewe ndio unipe Andiko la kwenye Qurani linalosema mtahiri
Najua Hilo Andiko halipo kwakuwa sio Imani ya Ibrahimu Al-Azar
Hakuwahi kuagizwa kufanya hivyo popote pale

Ama kama aliagizwa weka Hilo Andiko hapa ili tuone kweli mnafuata Imani yake:
Hakuna Wahayi wowote ulioteremshwa kwa Mtume Muhamadi kuwaagiza Mtahiri

Ndio maana Muhamadi hakutahiriwa kabisa kabisa
Screenshot_20260613_200222_Chrome.jpg
 
Wanaona Aibu tu kukujibu ila wanatamani wakujibu kuwa

Torati, Zaburi na Injiri ni vitabu vya Waislamu

Hawa jamaa unahitaji ujitoe ufahamu ili ujadiliane nao

Ni Waongo sijapata kuona

Kuna lile andiko kwenye Quran linasema wanafunzi wa Yesu walikuwa waislam 😊😊😊😊
 
Lete Andiko la kwenye Qurani, Mimi hizo hadithi sifahamu zimetokea wapi na zina uhusiano gani na maagizo ya Allah kwa Muhamadi;

Huko kunyoa Nywele na kukata kucha na Ndevu ni amri za Allah au utamaduni wa Waarabu?:

Lete Andiko la Wahayi wa Allah kwa Muhamadi na sio vigazeti vya uchocholoni huko ambako sijui mnaviokotaga wapi

Huyo Messenger wa Allah aliagizwa na nani kusema mkate kucha na kunyoa Ndevu ?

Wacha kutapatapa Kijana:
Abu Huraira ndio nani huyo ?
 
Usichanganye Madesa.

Wametajwa as Wayahudi.
Iwe kidini au Kirace. Haiondoi dhana kwamba wametoka uyahudini na ni wayahudi na wametajwa kwa wing kwenye Quran.
Sasa kama wametajwa wayahudi kama race kwa nini uhusianishe na hiyo dini kwani kila myahudi ni wa hiyo dini?
 
Kuna lile andiko kwenye Quran linasema wanafunzi wa Yesu walikuwa waislam 😊😊😊😊
Hapana Andiko linasema Wanafunzi wa Isa bin Mariam ndio walikuwa Waislamu;
Yule Miriam dada wa Musa na Haruni kutokana na ile Sura ya Majini:
Wao wanamwita Mariam badala ya Miriam
Yaani hao ni watu wa kumix Ups and Downs ilimradi watu waikubali Dini ya Kiislamu
 
haiondoi hoja yangu kuwa hakuna agizo la kubusu jiwe kwenye Quran.

Nimemuelewa vizur. Kwahiyo msijinasibu na Ibrahim wa Tera, wala lile andiko la kiyahudi linalosema watoto wa Ibrahim watakuwa taifa kubwa. Coz waarabu haliwahusu.

na ile tamaduni ya kuchinja na kutahiri. Haiwahusu.
Toa hayo maandiko ya Biblia sisi wala hatujinasibu nayo huo ni wasiwasi wako tu sisi wala hatumtambua Ibrahim Tera
 
Lete Andiko la kwenye Qurani, Mimi hizo hadithi sifahamu zimetokea wapi na zina uhusiano gani na maagizo ya Allah kwa Muhamadi;

Huko kunyoa Nywele na kukata kucha na Ndevu ni amri za Allah au utamaduni wa Waarabu?:

Lete Andiko la Wahayi wa Allah kwa Muhamadi na sio vigazeti vya uchocholoni huko ambako sijui mnaviokotaga wapi

Huyo Messenger wa Allah aliagizwa na nani kusema mkate kucha na kunyoa Ndevu ?

Wacha kutapatapa Kijana:
Abu Huraira ndio nani huyo ?
Unakataa maneno ya Mtume wakati Qur’an imesema yafuatwe na ndio msingi wa pili wa dini?

Huamini Qur’an wala hadith maana ukiamini Qur’an moja kwa moja inakupeleka kuamini na hadith
 
Hapana Andiko linasema Wanafunzi wa Isa bin Mariam ndio walikuwa Waislamu;
Yule Miriam dada wa Musa na Haruni kutokana na ile Sura ya Majini:
Wao wanamwita Mariam badala ya Miriam
Yaani hao ni watu wa kumix Ups and Downs ilimradi watu waikubali Dini ya Kiislamu
Andiko liko kwenye Quran linalosema wanafunz wa Yesu walikuwa waislam.

Inashangaza sana.
Maana huwez kuwa Muislam had useme Shahada.
Sasa sijui walisemaje wakat jina Allah walikuwa hawalijui.
 
Back
Top Bottom