Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Surah Al-Baqarah 2:183Wap Ibrahim alifunga.
Oneni maamuma hili tangu lini Jerusalem ukawa mji wa kiislamu?Ushahidi wa hili uko wapi ?
Ukristo kwao ni Roma.
Yerusalem sio mji wa Kiyahudi. Yerusalem ni mji wa Waislamu.
Wewe unapotosha.
Sasa tumesema aliabudu masanamu?Si mnasema Ibrahimu alikua anazunguka Kaaba na ndie mjenzi?
Kwahiyo kabla ya Muhammad Kaaba ilitumika na waumini gani?Sasa tumesema aliabudu masanamu?
Surah Al-Baqarah 2:183
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ
“Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa kufunga, kama walivyofaradhishiwa wale waliokuwa kabla yenu, ili mpate kumcha Allah.”
Hiyo aya bila shaka umeona imesemwa kuwa waliopita nao walikuwa na kufunga hivyo hata Ibrahim pia ni katika waliopita
Umebadili swali au sio?Kwahiyo kabla ya Muhammad Kaaba ilitumika na waumini gani?
Nithibitishie kama hao waliotangulia ni wakristo na wayahudiSion vizur. Nionyeshe Ibrahim hapo?.
Hao waliotangulia kufunga ni Wakristo/wayahudi.
Sasa unakataaje nikisema Mmechukua dini ya Kikristo?.
Na je wakristo walizunguka al kaaba. Na kubusu jiwe jeusi
Jibu ni hapana.
Sasa unakataaje nikisema mmechukua pia na mila za wapagan wa kokureshi?
Tumia akili kidoooogo
Hiyo hadith inatafakarisha sana.We jamaa hata sikuelewi yaani umekuja kureply comment yangu na hiyo hadith🤣🤣🤣
Uko sawa kweli🤣🤣🤣
Unalazimisha sana nimekwambia wapagani waliiga kwetu kutoka kwa Ibrahim hiyo ibada ya Hijja na nimekupa ushahidi wa ayaSasa unakataaje nikisema mmechukua pia na mila za wapagan wa kokuresh
Usijitoe fahamu msee nyie si hua mnasema Ibrahimu na Ismail ndio wakening wa Kaaba na waliizunguka?Umebadili swali au sio?
Wewe ulisikia wapi Uislam unasema Ibrahim alikuwa anaabudu sanam
Dini ni siasa ya kale, iliyovikwa utakatifu wa kubumbabumba, kwa joho la Mungu asiyethibitishika, na watu wajinga.Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni Hira, Makka.
Kwa kalenda ya Hijria
Ilikuwa miaka 13 kabla ya Hijra
(Ina maana ni 610 BK).
Mohamed akiondoka Makka kwenda Madina mwaka wa mwaka wa 1 Hijria .ukizingatia kalenda ya Kiislamu.
Ilikuwa ni hatua ya kisiasa, na aliondoka Makka kutokana na mateso na dhuluma za Quraysh.
Hivyo Mtume alienda Madina na kufungua jamii ya Kiislamu kule. (Ummah).
Baadae Mtume Muhammad alirudi Makka mwaka 630 BK , tukio linalojulikana kama Fathu Makka (Ukombozi wa Makka).
Huku akiongoza jeshi la Waislamu takriban askari 10,000.
Sanamu zilizokuwa ndani ya Kaaba zilivunjwa, na Makka rasmi ikawa kitovu cha Uislamu.
Na baada tu ya kuichukua Makka.
Kaboooom 💣💣💣 allah akashusha aya.
Qur’an 2:144
“Sifa kwa Allah aliyekufanya kuwa na mwelekeo wa moyo wako kwa ile nyumba (Kaaba) ulipo, na tulikufanya mwelekeo wa sala utakao pendelea. Nayo ndio hakika, na ni sawa kwa yeyote aliye miongoni mwa Waislamu…”
Hivyo mabadiliko yakafanya Kibla iwe Al kaaba Makka kutoka ilipokuwa awali (Bayt al-Maqdis- Jerusalemu).
Mtume alikufa Madina, katika nyumba yake, akiwa na umri wa miaka 63.
Kaburi lake lipo Masjid al-Nabawi, Madina hadi leo.
Pia Alikufa kabla wahyi wa Quran haujawekwa kama Kitabu Kimoja.
Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.
Summary :-
- jamaa kapokea wahyi 610 BK. Akiwa Makka.
- akahama Makka 13 miaka mbele (yaan 622 Bk) kwaajili ya mateso ya wakureshi . Akiwa na maswahaba wake baadhi
- akarud kupigana Vita na waislam na kuichukua Makka na al kaaba mwaka 630 BK. Akiwa na wanajeshi elfu 10.
- akafa Madina 632BK.
HOJA:-
Kwa kipind chote kuanzia mwaka 610 BK hadi 630 BK waislam (hapa ni kabla ya kuichukua Makka) walikuwa wanaswali na kuabudu kuelekea Yerusalemu.
Tena bila Quran.
Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.
Kumbuka pia miaka hii walikuwa wanafunga na kusali.
Hitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)
Jagina Covax Al-mukheef
Kisai
Nisahihisheni kama napotosha.
Kwa taarifa
CC
Ndugu zangu katika imani
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Fortyseven
Hamatan
Ina maana ulianza Uislamu wakaabuuduuuu baadae wakaja wapagani wakaaaabuduuu badae mkarudi tena kwenye Kaaba yenu mkaendelea kuabudu,wakati huo Allah alikua wapi Kaaba inaponajisiwa na Quraish kwa kuwekwa masanamu ya kipagani?Unalazimisha sana nimekwambia wapagani waliiga kwetu kutoka kwa Ibrahim hiyo ibada ya Hijja na nimekupa ushahidi wa aya
Nithibitishie kama hao waliotangulia ni wakristo na wayahudi
Wewe huna kima Cha kujadiliana na Mimi.Oneni maamuma hili tangu lini Jerusalem ukawa mji wa kiislamu?
Ulianza karne ya ngapi kua mji wenu?
😅😅😅
Surah Al-Hajj 22:27
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٍ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ
“Na watangazie watu Hajj, watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama waliokonda, wakija kutoka kila njia ya mbali
وَإِذْ بَوَّأْنَا لِإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ الْبَيْتِ أَن لَّا تُشْرِكْ بِي شَيْئًا وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿٢٦﴾
26. Na pindi Tulipomwonyesha Ibraahiym mahali pa Nyumba; Al-Ka’bah, (Tukamwambia): Usinishirikishe na chochote, na twaharisha Nyumba Yangu kwa wafanyao Twawaaf, na wanaosimama kuswali na wanaorukuu na kusujudu.
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ ﴿٢٧﴾
27. Na tangaza kwa watu Hajj, watakufikia kwa miguu na juu ya kila ngamia aliyekonda, watakuja kutoka katika kila njia pana za milima zilioko mbali kabisa.
Hizo aya zinaonyesha Ibrahim alihiji na kuhiji ni kunajumlisha mambo yote uliyoyataja
Zote nimejibu juu huko nimkuonyesha aya ya Ibrahim kuhiji ila tatizo hausomi au labda unasoma hutaki kukubaliana na ukweli🤣🤣🤣Hivo umejibu hizi hoja zangu?.
Nirudie tena.
Hebu soma taratibu
Narudia tena.
- Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
- Wap Ibrahim alifunga.
- Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
- wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
- Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
Na sio Ibrahim na kujenga Kaaba.
Tumia Quran hiyo hiyo kujibu hizo hoja 5.
Ushahidi wa hili uko wapi ?
Ukristo kwao ni Roma.
Yerusalem sio mji wa Kiyahudi. Yerusalem ni mji wa Waislamu.
Wewe unapotosha.
Zote nimejibu juu huko nimkuonyesha aya ya Ibrahim kuhiji ila tatizo hausomi au labda unasoma hutaki kukubaliana na ukweli🤣🤣🤣
Surah Al-Hajj 22:27
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٍ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ
“Na watangazie watu Hajj, watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama waliokonda, wakija kutoka kila njia ya mbali
وَإِذْ بَوَّأْنَا لِإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ الْبَيْتِ أَن لَّا تُشْرِكْ بِي شَيْئًا وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿٢٦﴾
26. Na pindi Tulipomwonyesha Ibraahiym mahali pa Nyumba; Al-Ka’bah, (Tukamwambia): Usinishirikishe na chochote, na twaharisha Nyumba Yangu kwa wafanyao Twawaaf, na wanaosimama kuswali na wanaorukuu na kusujudu.
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ ﴿٢٧﴾
27. Na tangaza kwa watu Hajj, watakufikia kwa miguu na juu ya kila ngamia aliyekonda, watakuja kutoka katika kila njia pana za milima zilioko mbali kabisa.
Hizo aya zinaonyesha Ibrahim alihiji na kuhiji ni kunajumlisha mambo yote uliyoyataja